Diamond Platinumz ashusha thamani ya shillingi ya Tanzania

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957

  • Shukrani kwa mchumi grade one niliyekuwa nimekaa naye jana kwenye ka pub kamoja kalichozungukwa na maji machafuyaliyoshindwa kupata njia ya kupita kutokana na serikali za mtaa chini ya CCM kupuuza miundo mbinu.

    Huku akishushia konyagi na nusu kilo ya kitimoto aliniambia" kijana,Profesa Ndulu alitaja mambo ya Tanesco na kununua mabehewa naye waziri magu aliongelea suala la wahisani kugoma kutoa hela kutokana na wale wazalendo wa ccm walioiba hela za Escrow lakini wamesahau kitu kimoja,Diamond platinumz"

    "Huyu kijana kila akienda nje anarudisha nyumbani dola nyingi kama laki mbili na watalii wengi wameongezeka bongo kwa ajili yake,wewe unadhani ni kwanini hadi Rais anamfagilia?unadhani ni kwanini aingie kwenye kitabu cha miaka 51 ya Muungano kina Mbaraka mwinshehe,Moris Nyunyusa waachwe?"

    Siku hizi haendi sana nje kwa hiyo dollar zinazoingia nchini zimepungua ndiyo maana shillingi inashuka,aliongeza expert huyo wa uchumi
    Mwishowe akanidokeza kwamba yeye ndiye anhusika kumtafutia Diamond na zari,private jet ya dollar million 20 ambayo itatua bongo soon
    Adios.​

Mmh dola millioni 20 mmmh ata kama ni kweli kuwa ni ndege ...lakin sio dola 20millioni kwa transactions zipi hizi zetu ambazo ndio juzi zimemfungulia mlango ...wa at least kuonekana kuna mzunguko makini kidogo wa pesa unaweza kupita kwenye brand name yake ....bado...haya maneno ya kitaa...ulipowekan neno dola millioni 20 ndio maana ukanigusa nikachangia, vinginevyo ningepuuza.Lakini kwa sentensi hiyo ya Usd 20mil aaha ni kweli kwa mtu mmoja na kisha kwa kuunga na transactions zingine zingine Taifa lina yumba kweli...
 
  • Shukrani kwa mchumi grade one niliyekuwa nimekaa naye jana kwenye ka pub kamoja kalichozungukwa na maji machafuyaliyoshindwa kupata njia ya kupita kutokana na serikali za mtaa chini ya CCM kupuuza miundo mbinu.

    Huku akishushia konyagi na nusu kilo ya kitimoto aliniambia" kijana,Profesa Ndulu alitaja mambo ya Tanesco na kununua mabehewa naye waziri magu aliongelea suala la wahisani kugoma kutoa hela kutokana na wale wazalendo wa ccm walioiba hela za Escrow lakini wamesahau kitu kimoja,Diamond platinumz"

    "Huyu kijana kila akienda nje anarudisha nyumbani dola nyingi kama laki mbili na watalii wengi wameongezeka bongo kwa ajili yake,wewe unadhani ni kwanini hadi Rais anamfagilia?unadhani ni kwanini aingie kwenye kitabu cha miaka 51 ya Muungano kina Mbaraka mwinshehe,Moris Nyunyusa waachwe?"

    Siku hizi haendi sana nje kwa hiyo dollar zinazoingia nchini zimepungua ndiyo maana shillingi inashuka,aliongeza expert huyo wa uchumi
    Mwishowe akanidokeza kwamba yeye ndiye anhusika kumtafutia Diamond na zari,private jet ya dollar million 20 ambayo itatua bongo soon
    Adios.​

Nani alie kuroga? Umekula maharage ya wapi?
 
Ujinga mtupu..unatushusha thamani wachumi halisia..unacheza na $20mln nn..Ronaldo..pamoja na ukali wake wote utajiri wake hauzidi$200mln..huyo domo..atapata wapi huo mshiko wa kununua ndege ya $20mln..maaaveee!
 
  • Shukrani kwa mchumi grade one niliyekuwa nimekaa naye jana kwenye ka pub kamoja kalichozungukwa na maji machafuyaliyoshindwa kupata njia ya kupita kutokana na serikali za mtaa chini ya CCM kupuuza miundo mbinu.

    Huku akishushia konyagi na nusu kilo ya kitimoto aliniambia" kijana,Profesa Ndulu alitaja mambo ya Tanesco na kununua mabehewa naye waziri magu aliongelea suala la wahisani kugoma kutoa hela kutokana na wale wazalendo wa ccm walioiba hela za Escrow lakini wamesahau kitu kimoja,Diamond platinumz"

    "Huyu kijana kila akienda nje anarudisha nyumbani dola nyingi kama laki mbili na watalii wengi wameongezeka bongo kwa ajili yake,wewe unadhani ni kwanini hadi Rais anamfagilia?unadhani ni kwanini aingie kwenye kitabu cha miaka 51 ya Muungano kina Mbaraka mwinshehe,Moris Nyunyusa waachwe?"

    Siku hizi haendi sana nje kwa hiyo dollar zinazoingia nchini zimepungua ndiyo maana shillingi inashuka,aliongeza expert huyo wa uchumi
    Mwishowe akanidokeza kwamba yeye ndiye anhusika kumtafutia Diamond na zari,private jet ya dollar million 20 ambayo itatua bongo soon
    Adios.​

SIku izi na wewe umeanza umbea? Kweli dunia inaelekea ukingoni
 
Mh! Jamani huu ushabiki mwingine co, ushabiki maandazi huu...diamond anunue private jet ya dollar million 20...atazinyea wapi?
 
hahahahaha kwani wananyeaga wapi??umenichekesha lakini
 
Haya majina haya!liwe la kupewa na wazazi au la kujipa mwenye kuna waqt yanarandana na maneno au matendo yako.
 
Nakubaliana na post hii kwa 100% Ila "lakini tu" ikibaki hapa hapa https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips.
 
Back
Top Bottom