Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Hana mpinzani EAST AFRICA.
na bado tunaendelea kusikiliza kuna tatizo kwani???Kabla ya diamond kutoboa kimziki,alikua hamsikilizi Cinderella?
Nauliza tu,mimi ni fan wa muziki nzuri!!
Na hapa nasikiliza uswazi take away (rmx)
watamkimbiza sana ila watambulia vumbi
na bado tunaendelea kusikiliza kuna tatizo kwani???
Kwani wanakimbizana na nani?
Kweli wasanii wengi wa bongo wavivu!!Mimi ni mmoja wa watu wanao penda kazi za Diamond!
Namshauri ajifunze kuimba bila kutegemea CD ! Diamond ana uwezo wa kutumia band kama ataamua kuanza kufanya zoezi la kutumia band na kuimba live music!
Kuliko kuwekeza kwenye msafara mrefu kila anapo kwenda ni bora akawekeza kwenye band na akawa anaimba live kuliko kutegemea CD!
Diamond pia ana hitaji msemaji wake maana hana msemaji!
Nani wataambulia vumbi as u said hapo juu?anakimbiza pesa, mkwanza, money, nduru, leeri, chapaa, u know????
Hakuna tatizo,sasa mnamponda Mwanadaslam kisa nini?
Diamond atabaki kuwa icon ya East Africa, no one else.
Calm down,mliposema upande wa pili mlimaanisha UPI?heeee!!! weee!!! unauhakika ubongo wako upo???? au umetoroka mirembe, wapi na nani kamponda???? ndio mnakujaga kichwa kichwa hivi hivi.
Diamond atabaki kuwa icon ya East Africa, no one else.