Ngoma kali sana ile... niliiangalia Youtube hadi bundle ikakata manake ilikuwa ni mwendo wa kuuchungulia kila wakati!!!
Wadau nimeshuhudia ngoma mpya Waje kamshirikisha Diamond mtv base.
Ni hatari sana. Di ni habari nyingine aise.
Cc. Chinga One et.al
diamond ni heshima.
Ngoma kali sana ile... niliiangalia Youtube hadi bundle ikakata manake ilikuwa ni mwendo wa kuuchungulia kila wakati!!!
Ngoma ina itwajwe hiyo mkuu? Nataka nikaichungulie you tube.
Ngoma ina itwajwe hiyo mkuu? Nataka nikaichungulie you tube.
coco baby waje featuring diamond
Kama hujaenda kuichungulia, wala usipate shida, hii hapa:Ngoma ina itwajwe hiyo mkuu? Nataka nikaichungulie you tube.
Hapa ndipo anapoonesha ukomavu wake... na kama ingekuwa ni mtu wa kutingishwa na scandals za wenza wake, huyo Wema angekua kaachana nao toka kitambo!!Maisha yana songa huyu jamaa hatari sana huwa hana time na vijineno neno vya mitaani.
Hapa ndipo anapoonesha ukomavu wake... na kama ingekuwa ni mtu wa kutingishwa na scandals za wenza wake, huyo Wema angekua kaachana nao toka kitambo!!
Shigongo tu huyo na biashara zake za magezeti... kwanza hiyo picha inayoonesha jamaa mwenye kisu yupo karibu na Diamond imefanyiwa photoshop. Ingawaje jamaa alikuwepo kwenye msafara, lakini hizo ni picha mbili tofauti zimeunganishwa.Hii habari ya diamond kunusurika kuchomwa kisu ni ya kweli au ni uzushi wa bamaga?
Shigongo tu huyo na biashara zake za magezeti... kwanza hiyo picha inayoonesha jamaa mwenye kisu yupo karibu na Diamond imefanyiwa photoshop. Ingawaje jamaa alikuwepo kwenye msafara, lakini hizo ni picha mbili tofauti zimeunganishwa.
Natafuta kideo ya zari iliyo leak kama kuna mdau anajua atupe link please
Kali sana, wadau waitizame.