Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Dah! Yaani watu wanashangaza sana mkuu... mtu yupo radhi kutetea hadi utumbo...Mkuu watanzania zaidi ya robotatu wana akili kama za wema au lucy komba.. mmojawapo ni diamond and his fellas.. alweys ni kuongea utumbo na kufanya vituko as if ndo mwisho wa safari ya maisha
Davido ameandika Kiswahili!?Mkuu Ruta, nakufahamu tangu zamani... wewe uwezo wako wa kufikiria upo mbali zaidi ya hapa... don't believe everything watu wanachosema hapa... huyo masai Dasa ame-exaggerate tweet ya Davido... kwanza, ame-quote nusu tu ya hiyo tweet! Full tweet anasema "mtu asiye na shukurani lazima ipo siku ataanguka, nami sina budi kuwashukuru wote walionifikisha hapa...!" Hiyo ndio tweet yenyewe. Na katika ufafanua zaidi akasema tarehe 27/12 anafanya show ya bure mjini Lagos kama njia ya kuwashukuru wale waliomfikisha alipo... yaani mashabiki wake! Wabongo kama kawaida yetu, mtu akaidaka hiyo tweet na kuja haoa kusema eti anamsema Diamond... wapi na wapi!!
Mi nilikuwa nakuona tu shabiki mwenzangu wa Chibu ulivyokuwa unaichukua post ya masai dada mzima mzima... kwa kifupi, alichosema Davido ni tofauti kabisa na hicho alichoripoti huyo masai dada! Ni kweli Davido kazungumza kuhusu mtu usipokuwa na shukurani ipo siku utaanguka lakini akamalizia kwamba yeye wakati wote lazima awashukuru waliomfikisha pale alipo... kwanini alisema hivyo? Aakaendelea kufafanunua kwamba tarehe 27/12 anapiga show ya bure kwa ajili ya kuwashukuru mashabiki wake kwa sababu ndio waliomfikisha pale alipo! masai dada akapotosha na kudai kamsema Diamond...Kaandika nn sijaona
Ndiyo...Davido ameandika Kiswahili!?
Mkuu hiyo twit wameitia chumvi, hata ile ya awali diamond hakuelewa davido alikuwa amefanya joke akaweka kbs na emotcon kuashiria hakuwa serious akashangaa anatukanwa. Sasa anamshangaa diamond anajidai naye supastaa eti ana biff na davido dogo washauri wake vimeoDavido ameandika Kiswahili!?
Mi nilikuwa nakuona tu shabiki mwenzangu wa Chibu ulivyokuwa unaichukua post ya masai dada mzima mzima... kwa kifupi, alichosema Davido ni tofauti kabisa na hicho alichoripoti huyo masai dada! Ni kweli Davido kazungumza kuhusu mtu usipokuwa na shukurani ipo siku utaanguka lakini akamalizia kwamba yeye wakati wote lazima awashukuru waliomfikisha pale alipo... kwanini alisema hivyo? Aakaendelea kufafanunua kwamba tarehe 27/12 anapiga show ya bure kwa ajili ya kuwashukuru mashabiki wake kwa sababu ndio waliomfikisha pale alipo! masai dada akapotosha na kudai kamsema Diamond...
Umeongeaje point muhimu sana haina haja kujiita majina ya mtu ambaye ni mtuhumiwa aliye kua most wanted dunia ikaleta maana nzuri itamuharibia kwa kweli si la kwake linamtosha tena zuri tu
Hard Work pays, hilo halina ubishi lakini mwenye mapenzi (sio ushabiki) na Diamond hawezi kufurahia hata siku moja kuona mtu wake anaingia kwenye mabifu yasiyo na tija... watu tunao-dis hii kitu kuna wengine wanadhani tunamtetea Davido kumbe tunamtetea mtu wetu asijiingize kwenye mambo yasiyo na tija! Leo hii mashabiki wa Kiba hapa Bongo hata wamchukie vipi Diamond bado haitamuathiri coz' tayari Diamond ana mashabiki kibao nyuma yake hapa TZ! Hali kadhalika, leo hii mashabiki wa Diamond hata wamchukie vipi Kiba, haitamuathiri Kiba coz' tayari ana mashabiki kibao nyuma yake! Kuna watu leo hii wanamchukia Kiba kwa sababu tu wao ni watu wa Diamond na kinyume!!!Tutake tusitake, mashabiki wa Diamond wanaishia kwenye mipaka ya East Africa!
Wakati mashabiki wake wanaishia East Africa, hivi sasa ndio alikuwa anajenga base kwenye maeneo mengine ya Africa, hususani NIgeria! Leo hii nitakuwa mtu wa ajabu sana nikikataa ukweli kwamba featuring yake na Davido ndiyo iliyomfanya atambulike nchini Nigeria na sehemu zingine Afrika! Wakati haya yanatokea, Diamond sio msanii wa kwanza TZ kufanya featuring na wasanii wa Nigeria... wapo AY, Mwan-FA na Ommy Dimpoz! Lakini ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua tofauti ya featuring za akina Dimpoz na hii ya Diamond... wakati za wenzake zilibaki kama ushirikiano wa kikazi tu, hii ya Diamond ikageuka ikawa ushikaji!
Kwa upande mwingine, kuna mashabiki kibao TZ ambao walimfuata Chibu kwavile tu wao wana mahaba na Wema na kv Wema na Diamond walikuwa ni dam dam, nao wakapeleka mapenzi yao na kwa Diamond vile vile! Hali kadhalika, wapo mashabiki kibao ambao walionesha love kwa Wema lakini root ya mapenzi yao ilikuwa kwa Diamond! Ukiangalia ukweli huo, bila shaka wapo mashabiki kibao wa Nigeria ambao walianza ku-show love kwa Chibu kwavile tu wao ni mashabiki wa Davido na kwa kuwa Davido na Chibu wanaonekana ni washikaji wakapeleka mapenzi yao kwa mshikaji wa mtu wao... kama ambavyo hivi sasa wabongo wanavyoonesha love kwa Zari!!
Kama ilivyotokea kwa mashabiki wa Wema ambao walikuwa wanaonesha love kwa Chibu kwa ajili ya Wema na sasa kuwa maadui wa Chibu kwavile tu Wema na Chibu sasa si wamoja... ndivyo hivyo itakavyotokea kwa mashabiki wa Davido ambao waliamua ku-show love kwa Chibu kwa ajili ya Davido na ikiwa kutakuwa na chuki kati ya Davido na Chibu, mashabiki hawa hawatakuwa tena na sababu ya ku-show love kwa Chibu!
Mashabiki wa Wema hata wakiamua kumgeuka Chibu bado Chibu hawezi kutetereka kv tayari ana base ya kutosha hapa East Africa... lakini kule Nigeria, hiyo base Chibu hana... ndo kwanza alikuwa anaanza kuijenga!
UKiangalia ukweli huo, mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa Diamond hawezi kufurahia kuona uhasama huu wakati ndo kwanza alikuwa anaanza kujenga base kule Nigeria! Anaweza kufanya featuring na other Naijas lakini Chibu na Davido ilikuwa ni zaidi ya uhusiano wa kikazi!!! Leo hii naona mashabiki wa Diamond na wale ambao wala sio wa Diamond wanafurahia... tukubali tusikubali, wala hatumsaidii!! Hawa hawa ambao leo hii wanajifanya kum-support Chibu wakati huko nyuma wala hatujaona wakim-support zaidi ya kumponda, ndio kesho watageuka kuwacheka nyinyi ambao mmekuwa mkim-support Chibu since then!!
Niishie tu kusema kwamba, waungwana wanashabikia kujenga na sio kubomoa! Hakuna ubishi kwamba Diamond ni hard worker but unless kama tunaamini nchi hii tangu ianze hajatokea hard worker kweney sekta ya muziki zaidi ya Diamond, ndipo tunaweza kuwa na kiburi na kutamba it's only his hardworking ndiyo imemfikisha pale alipo!
Mkuu hiyo twit wameitia chumvi, hata ile ya awali diamond hakuelewa davido alikuwa amefanya joke akaweka kbs na emotcon kuashiria hakuwa serious akashangaa anatukanwa. Sasa anamshangaa diamond anajidai naye supastaa eti ana biff na davido dogo washauri wake vimeo
mimi ni shabiki wake ambae natamani AWE NA VITU SIZE YA UMAARUFU WAKE
NATAMANI KUONA ANA LAMBO,RANGE ZIKIWA NA JINA LAKE NADHANI ANA ILE MOJA ILE INA JINA LAKE
AMBAYO NI ZAWADI EHHE???
natamani hilo sana unajua ukiwa mshabiki wa mtu unatamani mazuri kwake na sio mabaya
Mkuu usipaniki. Mziki ni mashabiki.. the more u have lots of em th more unavyosonga
. Usidanganywwe.. davido ana followwers wengi zaidi mara nne ya bin laden
Mkuu watanzania zaidi ya robotatu wana akili kama za wema au lucy komba.. mmojawapo ni diamond and his fellas.. alweys ni kuongea utumbo na kufanya vituko as if ndo mwisho wa safari ya maisha
Hahahahaha, usinichekeshe geniveros, naongea vizuri hadi naboa!!! Ila niseme tu kwamba, sio tunaelekea pabaya bali tayari tumeshafika pabaya... we're too emotional!chige unaongea vizuri mpaka unaboa yeyote anaemtakia mafanikio mondi
yeyote yule ataongea km wewe
japo mimi si mshabiki wa mondi but for this nakuunnga mkono nachelea kusema tunaelekea kubaya hasa daiw
Hahahahaha, usinichekeshe geniveros, naongea vizuri hadi naboa!!! Ila niseme tu kwamba, sio tunaelekea pabaya bali tayari tumeshafika pabaya... we're too emotional!
Davido kazaliwa USA baba yake nice ni professor kwao hakuna njaa kule kwao ni mtoto wa mbezi beach na siyo tandaleKuna watu wanapenda kuabudiwa.. ht km umenisaidia sio kila nikikuona nipige magoti nikurambee....huko ni kutaka sifa fulani bila mimi....sio fair...u helped then ts done....huyi davido utoto na ushamba..cz nae ni wa tandale tu kwa huko naija kwao...so si unajua ukipata tako hulia mbwata
Wengine tunasukumwa na emotions... tumejiandaa kumshangilia tumpendae kwa kila kitu lakini inapotokea downfall, tunaiacha kuwa yake peke yake wakati tuzo tumefurahia wote! Nilitarajia mashabiki wa Diamond wangejifunza kwa mashabiki wa Wema!!! Miezi michache tu hapa mashabiki wa Wema walimjia juu Diamond wakimtaka awaachie Wema wao!!! Muda mrefu haukupita, kama sio drama, Mond akawaachia Wema wao!! Wale wale tena waliokuwa wanamtaka Wema wao sasa ndio wanatapatapa na kuanza kumporomoshea matusi Zari kwavile yupo na Diamond!!! Kikomo cha ujinga wetu kikatimia pale walipoanza kumpeleka mnadani Wema eti na yeye achukuliwe na Ivan!kweli haihitaji ya chuo kikuu kukuelewa davido ht km anadharau kias gani asingeweza kuandika vile akimaanisha CH.O na BBA
nikiangalia humu mshabiki wa kweli wa daimond ni wewe peke who dare to tell the truth
wengine wapo hapa mamluki tu