Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Ms.LincolnLawyer wangu unaniangusha!!Perception ya watu dhidi ya magaidi ni tofauti dhidi ya ushoga,hususani katika jamii ya kimataifa!Leo hii Beyonce akijiita Black widow itakua balaa!Au lady Gaga ajiite white widow itamharibia trust me!
Hili ni jina la kiarabu! nakubalia kabisa na hoja zako natamani ulicho kiandika ndio kingekuwa mwanzo wa thread! Nimetofautiana na mtoa mada maana ana onekana ana tatizo zaidi ya hilo jina!
Mimi ningependa tuwashauri watu huku tukiwapa moyo lakini si jinsi mtoa mada alivyo fanya anaonekana kabisa ana kandia kabisa! Pengine wasanii wetu wanahitaji ushauri maana hawajakamilika! Lakini ushauri ukitolewa kwa kashifa unaleta maana nyingine!
Last edited by a moderator: