Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Aliye kwambia kujiita Bin laden ni kupromote ugaidi ni nani?
Kwa hiyo akitokea mtu akamuita mwanae Elton atakuwa ana promote ushoga?
 
Hahahaha mkuu unaua

mimi ni shabiki wake ambae natamani AWE NA VITU SIZE YA UMAARUFU WAKE
NATAMANI KUONA ANA LAMBO,RANGE ZIKIWA NA JINA LAKE NADHANI ANA ILE MOJA ILE INA JINA LAKE
AMBAYO NI ZAWADI EHHE???
natamani hilo sana unajua ukiwa mshabiki wa mtu unatamani mazuri kwake na sio mabaya
 
Bado amepanga! Mambo yake siyajuwala sifuatilii zaidi ya kusoma ktk mtandao tu.

aisee ki ukweli sielewi management yake lakini
nafurahia mafanikio yake ya tuzo za glasi rangi ya gold na rangi ya shaba za mataifa mbalimbali,lakini pia kwa kufanya tanzania kujulikana kupitia mziki yaap
nice.but what is real nice is to have something real
kumiliki estate la maana,mi investment ya kutosha,yaap
i love his music though
 
unajidanganya.. diamond bado sana.. nmeona davido ana follower zaidi ya milion dogo diamond ana follower hawazid laki mbili analeta kashfa mitandaoni.. mpuuzi.. kavuka boda km shilole tu nothing else

Kwa hiyo kigezo ni kufanya kazi bora kimataifa au kuwa na wafuasi wengi?
Kwa hiyo Diamond bado hajavuka mipaka kabisa?

Naomba uweke wazi vigezo vinavyo onesha huyu msanii kavuka mipaka kimziki!
 
angejiita john au paul wala tusingelalamika.haya mawazo ya majina ya kiarabu ni ugaidi sijui tumetoa wapi?
 
unajidanganya.. diamond bado sana.. nmeona davido ana follower zaidi ya milion dogo diamond ana follower hawazid laki mbili analeta kashfa mitandaoni.. mpuuzi.. kavuka boda km shilole tu nothing else

Endelea kupiga kelele ye anaendelea kupiga kazi

Kuwa na followers wengi ndio mafanikio ajabu hiyo......., I know Davido yuko next level but huwezi kuanza kuweka idadi ya followers kama mafanikio
 
Lil wayne anajiita young mullah...mullah ni design ya bin laden...ilo la kwanza

Pili.. acha majungu wala kumkatisha tamaa anaetaka kufanya jambo.. kama ww unajua zaidi mic zipo nyingi embu kamata tukusikie..

Tatu, majungu kama hayo kwa mtoto wa kiume haipendez,

Ushauri.... unapotaka kubadilisha jambo kwa jamii anza kubadilika ww au toa mfano wa namna gan lifanyike... na ni bora kuelekeza nguvu kwenye kazi na sio ken majungu
 
Aliye kwambia kujiita Bin laden ni kupromote ugaidi ni nani?
Kwa hiyo akitokea mtu akamuita mwanae Elton atakuwa ana promote ushoga?

Lawyer wangu unaniangusha!!Perception ya watu dhidi ya magaidi ni tofauti dhidi ya ushoga,hususani katika jamii ya kimataifa!Leo hii Beyonce akijiita Black widow itakua balaa!Au lady Gaga ajiite white widow itamharibia trust me!
 
Umeongea neno....goodnight
 
angemiliki jumba lake bna mambo ya kupanga tena dah ci anavuta mkwanja mrefu ci ajenge jaman
 
Labda picha za pamba alizojaza kwenye kabati

na magari ya kina babu tale sielewi jamani mimi management yake inawaza nini
ISSUE SIO TUNZO AWE NA MAISHA LIKE A REAL BILIONEA JAMANI i wish.ana miaka kama 5 sasa kimziki au 6 na amepata umaarufu sana
jina sio issue jamani
issue ni raslimali uwezi imba milele jamani yanatokea mengi
 
Lawyer wangu unaniangusha!!Perception ya watu dhidi ya magaidi ni tofauti dhidi ya ushoga,hususani katika jamii ya kimataifa!Leo hii Beyonce akijiita Black widow itakua balaa!Au lady Gaga ajiite white widow itamharibia trust me!

Umeongeaje point muhimu sana haina haja kujiita majina ya mtu ambaye ni mtuhumiwa aliye kua most wanted dunia ikaleta maana nzuri itamuharibia kwa kweli si la kwake linamtosha tena zuri tu
 
Back
Top Bottom