hili pia huwa naliwaza SIJUI SABABU NI IPI
marehemu kanumba (R.I.P ) alifanyia msiba nyumba ya mwanaume mwenzake hapo alikua na almost 10 years katika uigizaji
kaacha kiwanja tu na alikua anapata mkwanja mrefu tu
TATIZO NI NINI JAMANI?????
Sasa wewe yanakuhusu kama unapita si upite tyu
Nacheka sana kila nikikumbuka hii kitu
Sasa hivi diamond platnumz anajiita Monde bin Laden amin amin nawaambieni mziki wa uyu kijana utaishia tandale kama anataka kuvula level za kimataifa atafute majina yenye staha sio yanayopromote magaidi. Over
Sitarajii kama uhusiano wao unaweza kuvunjika kwa zile Tweet mbili moja kutoka kwa Davido na nyingine kutoka kwa Chibu... I hope they'll clear the air!
Sio kwamba kijana ni mshamba, ni mjanja.. Anafanya vitu ambavyo anajua mkivisikia hamtakaa kimya... Siunaona ushamwanzishia thread...?
Hahahaa, hii kitu ilinilamba bani ya milele aisee duu.
Really? Aende akabong'oe pale kariakoo saa 7 mchana atakuwa famous zaidi.
we nae kafie mbele....
Kuna watu wana penda uhusiano wa dai na davido uvunjike ili wapate cha kuongea na wanadhani kama diamond na davido wakigombana labda chibu ataporomoka kimuziki that is a false hope.
Hilo la kwamba tatizo ni vijana nimeshalisema vile vile... mashabiki maandazi ni tatizo kwenye tasnia zetu... na ni bahati mbaya sana kwamba wasanii wetu hawana professional management manake wangekuwa na professional management, basi wangemshauri Diamond aombe radhi... si kwa sababu ya kauli aliyotoa (Diamond) bali aombe radhi kwa niaba ya mashabiki wake ambao wamevuka mipaka!
Ona hapa soma comments utakataa kujivunia Utanzania wako, kwakweli najisikia aibu kuna watu wameamuwa kutuchoresha kama Taifa.
Kiukweli kuna watu hawana busara kabisa na wanatufanya tuonekane wajinga nchi nzima... Sijui niseme nn but it's such a shame
Huwa sicomment Insta lakini kwa hili nilitaka kucomment lakini nilijisikia aibu sana nikaacha na isitoshe account yangu Insta natumia jina langu halisi.
Ingia hapa utapata jibu who is bad?
Hahahahaha, usinichekeshe geniveros, naongea vizuri hadi naboa!!! Ila niseme tu kwamba, sio tunaelekea pabaya bali tayari tumeshafika pabaya... we're too emotional!