babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,173
Jina la Bin Laden limekuwa popular zaidi kutokana na terrorism .Ukimtajia mtu ilo jina bila kusema zaidi moja kwa moja linajenga picha ya ugaidi kichwani.
Ku-associate na jina la mtu ambaye ameua maelfu ya watu kwa jina la dini lazima utakuwa unaunga mkono aliyofanya.
Ku-associate na jina la mtu ambaye ameua maelfu ya watu kwa jina la dini lazima utakuwa unaunga mkono aliyofanya.