Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
- #2,521
Wewe nis shabiki sana unadhani kila anyekosa basi ni adui9, hapan, mimi siyo shabiki wa mwanamuziki yeyote, napoenda nnyimbo zote nzuri na ninajua muziki vizuri sana.
Hiyo video siyo sbatract kama ilivyokuwa number 1 renix ambayo haina stryline, video hii hiyo ina storyline inayojulikana wazi ikiendana na mashairi ya wimbo. Tatizo ni kuwa video ina ina mapengo yasiyoendana na stryline. Nimesoma sehemu nyingine Diamond mwenyewe akikiri kuwa ilibidi warudie tena video kwa vile director hakuwa anajua lugha ya kiswahili kwa hiyo ikawa vieo haindenai na stryline. Pamoja na kurudia bado kuna huo upungufu. Nadhani wewe ni shabiki asiyengalia pande zote za wimbo, unachukua mradi ni wimbo wa Diamond. Iwapo Diamond mwenyewe alikiri mapungufu hayo wewe unatokea wapi.
Usiwe negative hivyo ndugu yangu,na sija ongea kwa namna ya kukuona adui.....by the way kila mtu na uelewa wake so amini unavyo amini na mimi naamini ninavyo amini full stop.