Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Eti Zari ni msichana!! Domo anatumiwa na huyu na huyu kahaba halafu hajielewi.
 
Ngoma ikivuma vuuu vuuu ujue ipo karibia kupasuka...

Msemo wa kanumba katika filam young bilionea
 
Usia wangu kwa Diamond ni kuwa asisahau zana kwa kila tendo.....na itumike mara moja kwa tendo moja......nimemaliza.
 
Hata hvyo nani alimdanganya watu wote wanamwona Zari kuwa mzuri, mwanamke mzuri ni yule anayetulia kwenye ndoa siyo malaya anayeruka na kila mwanaume,,

Tokea lini malaya akawa mzuri?

according to your definition, he made his though!
 
Akitoka hapo uganda aende rwanda akamchukue mtoto wa kagame

wala sitashangaa, kwani mara ya kwanza kuonekana na zari kwa picha watu si walisema mondi kutoka na zari ni ngumu kama ilivyo mbingu na ardhi kukutana, what now???
 
Then wanaanza kumuombea apumzike kwa amani

kama definition yako ya msichana na mwanamke ambaye hajazaa umekosea sana, msichana ni binti ambaye ni bikira, sasa waweza ona ni jinsi gani ilivyokuwa ngumu kumpata msichana kwa dunia ya sasa, so kujiita msichana ni mazoea tuu lakin ukweli ni kuwa ni wachache sana wenye usichana.
 

Sawa msemaji wa chibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…