Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa si usubiri wadau wachangie
Kutoa mimba ni dhambi.!! umejificha Wapi siku hizi!!
Diamond akiwa ikulu na jk
Jamaa nasikia ana mguu wa mtoto mdogo,swala la kusimamia kucha sidhani maana wema angekuwa anafikishwa na domo asingeangaika na wakongo,jamaa ana pipe lakini hawezi kulitumia.
Ushalirambaramba likakukosa kosa mkuu nn?
Copied from U-turn!tUliza hisia!Usiniulize mimi,fanya kama unamuuliza Mange Kimambi!Tena hii ni nusu tu
From Mange, U-turn.
Hii interview dah, imenisikitisha mnoooooo, kwanini anaongea sasa huyu jamaaa? why tell people Penny alitoa mimba zake mbili? Hivi anajua implication ya hiyo kitu kwenye maisha ya Penny? kwanza its illegal kutoa mimba in Tanzania. Pili Penny anatoka familia ya kiislam, ana kaka zake, mama yake na ndugu zake. Kweli watamwangaliaje binti yao kujua alitoa mimba mbili za huyu jamaa?
Acha hiyo tu , Penny bado ni mdogo anahitaji kuolewa hivi ni mwanaume gani atafurahi kujua mkewe alitoa mimba 2 za mtu mmoja tu? Hivi huyu anajua jinsi wanawake wanavyoficha hiyo issue ya kutoa mimba? yani mtu hata uolewe ushindwe kuzaa au upate matatizo humwambii mumeo kuwa ulitoaga mimba. Kutoa mimba huwa ni siri ya mwanamke tena anakufa nayo mwenywe yeye na Dr aliemtoa mimba. Alafu yeye anamtangaza mtoto wa watu katoa mimba, tena sio moja, mbili. Yani kamtia yule mtoto doa kubwa mnooo. Na wale wanaomchambaga Penny huko instagram mbona ndo watapata cha kumchambia zaidi.
Diamond ni mdhalilishaji mnoooooooooo wa wanawake. He doesnt think akiwa anaongea, DAH KABOA MNOO. Hivi unaongeaje on TV kuwa gf wako alitoa mimba 2 tena unamtaja na jina? Huyu mtoto usupa star wake utakuja kuisha vibaya maana anaelekea pabaya sasa. Kusema ukweli mimi I thought wanaume wanaowapenda mama zao au walio close na mama zao huwa wanathamini sana wanawake ila huyu star wetu kaonyesha kuwa sio wote. duh. Hivi Petitman siku akiongea on tv kuwa Esma alitoa mimba 2 yeye atajiskiaje? atafurahi kweli? VERY SAD!
Ila pia mie kama naanza kumstukia huyu kakake Wema, analalamika Penny alitoa mimba zake, Wema alikataa kumzalia mtoto yani na usupa staa wake woooote kweli hawa wanawake woote wanakataa kumzalia? mie nahisi kama kijana wetu is shooting blanks!!! lol (kama hujui kithungu google). Yani kwa jinsi alivyo na wanawake kila leo lazma mmoja angejibebesha -mimba hata kwa kuiba condom na kujidunga sindano za **** ili imradi apate mimba Penny alivyokuwaga kafika kwa Diamond anasubiri ndoa kweli achomoe mimba mbili??? mweeeh??? mie naona kama anajitetea sana kuhusu swala la mimba? mdogo wangu Wema alivyokuwaga ready kufa juu ya Diamond na tayari kwa ndoa kweli akatae kuzaa nae? mmmmh!!!! asije tu baadae akasema na Zari nae alikataa kuzaa amzalishe tu hata kamoja, hahahahhahahaa..
Yaani the biggest supastar in East Africa unapiganiwa na mademu kona zote alafu eti wanawake hawataki kuzaa na wewe?? nani kaona hiyo???? yani by now Diamond alitakiwa awe na watoto wa kusingiziwa kama 10 hivi. lol Hamuoni mwezie Ali Kiba, kidume cha mbegu, UK ana mtoto, sijui na mji gani naskia ana mtoto Yani yeye akienda nchi za nje kwenye show lazma aache copy yake huko hahahahhahahah!
Zari alifanya hivyo ili amtumie Diamond ktk part yake bila malipo, na amefanikiwa, sasa kama Diamond ataingia penzini ndiyo hapo mtakapomuonea huruma, kwa wanawake hata kama ana milioni wewe una laki ataitamani laki yako au utalipa bill ya matumizi mkiwa nae.
Watu hamuishiwi... Wema alipopanda stejini kwenye show ya Diamond, oh; Domo anamtumia Wema hadi mashabiki wa Wema wakaja na Bring Back Our Wema!! Leo hii Diamond kahudhuaria show ya Zari, tena oh, Diamond anatumika kwa Zari!It makes sense,domo atatumiwa weee mpaka basi,bibi bomba zari ataanda matamasha kibao anajua domo atapafomu bureeee!! Kakamata fursa!
Boo......................??? Ndukiiiiii
Ndo maana hua haongi ovyo ovyo...watu wanaosimamia kucha hawachunwi ovyo na bado hogo linapangiwa foleni basi tu wanaume hawajui hii siri