Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[/color]
kwenye red hapo ume andika bila kuwaza bila kutafakari i wonder huwa una mpondaga diamond kuwa na wanawake wengi halafu leo unasifia mtu kua na watoto wa nje ya ndoa kibao tena wa mama tofauti tofauti (??!!!?)...panapo uzuri sifia panapo ubaya kemea usi andike kwa ushabiki eti ikionekana una mponda kiba kuzaa holela utaonekana msaliti usipende kuandika kwa kufurahisha watu.
sio fan wa kiba but siwezi kuponda bila mpango ambapo panastahili sifa na siwezi kumsifia diamond panapo uozo.
heri ya xmass na mwaka mpya.
Copied from U-turn!!sijaongeza neno,nenda uone walivomchamba huyo dai!!
Sio yangu!!hata nukta sijaweka!!lolanhaa sio maneno yako kumbe?
Na kuna kila dalili ya hilo kutokea na wanataka kutufaidisha hata ambao hatujakuwepo jamvini kwa siku kadhaa...hapa kwenye uzi huu malumbano ya juzi yameanza tena kinacho fuatia ni matusi na ban.
Hahhahahahah umenichekesha, kwel mswahili mswahili tu no matter what! Huyo ndyo diamond mtoto wa tandalee
Kuna interview moja Diamond alinukuliwa akisema kwamba siasa imeingia kwenye burudani.... ni kauli fupi lakini yenye ukweli kwa 100%! Mambo ya kubadilisha maana ya mtu alichoongea zamani tulikuwa tunakiona kwenye jukwaa la siasa lakini hili jukwaa siku hizi nao kwa ku-manipulate habari za Diamond imekua ndio mtindo wao... utawasikia Diamond kasema hivi au vile lakini ulifuatilia unakuta ni uongo! Juzi hapa wakazusha habari kwamba alimteremsha Nyota Ndogo jukwaani; kumbe ni uongo! Wakatoka sana povu kwamba eti kam-discredit Camellione... juzi walipoonekana wapo pamoja kikawashuka!watu wana fungua thread kumchafua diamond sijui lengo ni kuona kijana mwenzao ana drop? wako wrong sana.
Akikua ataacha... siku hizi unasikia habari za Juma Nature? Je, zamani wakati yupo na Sintah? Akamatungia hadi nyimbo ambazo alimtaja wazi wazi hata kama hakutaja jina... Kingine kinachomponza Chibu ni kutoka na wasanii na karibu wote wanakuwa na historia ya kuandikwa na magazeti kabla ya kukutana na Chibu! Kwa mfano, mchukulie Wema... kila anapopita Wema, media zipo nyuma yake; tangu enzi za Kanumba, Jumbe hadi kumegwa na Blue! Afadhali wakati yupo na Charlz Baba lakini kwingine kote alikopita hiyo ndo hali yake! Jokate karibu kila bwana anayekuwa nae, anajulikana... tangu kumegwa na Hasheem, Mzee Machache na wengine wote waliofuata! Penny sio mtu wa media sana lakini kwavile mapenzi yao yaliingia dramas ndani yake, haishangazi! Huyu Zari wa sasa, kwa kule Uganda ndo kama Wema kwa Tanzania! Kwahiyo labda aanze kumega mademu ambao si attraction ya media kama ilivyokuwa kwa Hawa vinginevyo, media zitaendelea kumfukunyua kila siku!!!Kwanini asiige mifano ya watu kama kina AY? Huwezi sikia akiongelea ishu zake personal au za watu wake wa karibu bila sababu ya msingi.
Yameisha na nimekiri nimekosea kwenye post hapo juu.
That defines u!!Ila siwezi kuwajumuisha mashabiki wote wa Diamond,I can't be that unfair!!
Kick hiyo inatafutwa,chezea Kiba wewe?Wiki yote hii hatujasikia habari za ndomo.