Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

We Nae !...Mbona Hukauki Mijineno!!?
Ilo Hogo Analibebaje Sasa
Alafu Maneno Mengine Hutakiwi Kuyasikia Tuu....Ni Vizuri Kuthibitisha!
Ahsante Jigo

Ntathibitisha kwa wangapi jigo, make hata wewe kuna maneno nayasikia juu yako...nithibitishe????
 
Sasa,hao akina Penny na Wema walikua wanaacha mpaka matumbo yanakua!Hata dai asingesema wadaku wanajua!Ila dah,u can take a person out of Tandale,but u can't take Tandale out of a person!!

yaani hata umpeleke akaishi New york ataenda na utandale wake
 
Ila amekosea sana mi ni fan wa dai ila kwa hili hapana aiiseee.jana niliwaza mimi ndo ningekuwa hyo Penny sijui hta ningefanyaje..hlf kuna kipindi alisema wema kamfundisha english jana kamkana..
 
Kama aliyoyasema nikweli sioni tatizo.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Ila amekosea sana mi ni fan wa dai ila kwa hili hapana aiiseee.jana niliwaza mimi ndo ningekuwa hyo Penny sijui hta ningefanyaje..hlf kuna kipindi alisema wema kamfundisha english jana kamkana..

Alimpaisha Wema kwenye Mkasi,global tv online kamkana!!Huyu naye mnafiki kimtindo!
 
Huyu Mange bifu lake na Zari kaamua kuliamishia kwa Diamond... by the way, hapo hakuna jipya coz' suala la mimba ya Penny kutolewa lilianzishwa na hao hao watu wa Penny na sio Diamond kwahiyo kama ni kudhalilisha, ni hao watu wa Penny ndio walimdhalilisha Penny... hizi habari zilishawahi kuripotiwa hata humu JF. Moja ya nukuu ni hii hapa:
"Hata kutoa mimba ya Diamond amekuwa akisema kwamba kama angezaa naye watoto wake wangekuwa na sura mbaya na midomo ya ajabu".
source hii hapa: https://www.jamiiforums.com/celebri...gemharibia-midomo-na-sura-za-watoto-wake.html . Na hata mahojiano kupitia Global TV, ameyatia chumvi; kwa mujibu wa Mtandao wa Bongo Movie, summary ni hii hapa:
Diamond: “Ni kweli napenda watoto lakini siwezi kupata mtoto peke yangu bila mwenzangu. Lazima kuwe na mwenzangu ambaye tutakubaliana.“Nilichojifunza ni kwamba wenzangu hawakuwa real (hawakumaanisha) hivyo wakawa wanachengachenga.”
kisha tena anaendelea:
“Ukweli Penny ningezaa naye, aliwahi kuniambia ana mimba yangu, sikuamini, nikampeleka hospitali kupima ikawa kweli. Kesho yake niikamnunulia gari, nikamwambia mama tulia. Siku mbili tatu akasema mimba imetoka.
akahitimisha:
“Nikaja nikamjaza kingine cha pili (mimba), nayo baada ya muda akaja kuniambia imetoka. Nikaona huyu mzinguaji, nikammwaga. Lakini iliniuma sana.“Kwa wengine (Jokate na Wema) walikuwa wakinichenga tu bila sababu, unamuona huyu hataki kubeba mimba yangu. Mtu kwa mdomo anasema kwamba yuko na wewe kikamilifu lakini kwa matendo unaona siye.
Source: DIAMOND:Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi Tanzania Movies | Bongo movies | Official bongomovies website .UKisoma hayo maelezo, utagundua kwamba Diamond hajasema kwamba Penny ametoa Mimba bali ni Penny mwenyewe ndio alikuwa anasema mimba imetoka huku marafiki zake wakiwa wameshawahi kutamka tangu zamani kwamba Penny alitoa mimba... na mahojiano rasmi ni haya hapa:Suala la mimba amelizungumzia kuanzia dakika ya tisa....
 
Last edited by a moderator:
Ila amekosea sana mi ni fan wa dai ila kwa hili hapana aiiseee.jana niliwaza mimi ndo ningekuwa hyo Penny sijui hta ningefanyaje..hlf kuna kipindi alisema wema kamfundisha english jana kamkana..
Labda ulipitwa tu na hizi habari... hizi habari zilishaandikwa karibu mwaka sasa na source ilikuwa ni watu wa Penny kwamba Penny alitoa mimba ya Chibu kwa sababu hakutaka kuzaa nae kwa hofu ya watoto kuwa wabaya kama Diamond... but yote kwa yote, hiyo habari hapo juu imepotoshwa... alichosema Diamond ni kwamba Penny mwenyewe ndie alisema mimba ilitoka na si kweli kwamba amesema Penny alitoa mimba yake!
 
WAKATI kila mtu akiamini mwalimu wake wa lugha ya
Kiingereza ni Wema Sepetu ‘ Madam’ staa wa Bongo
Fleva , Nasibu Abdul ‘ Diamond ’ ameibuka na kudai
aliyemfundisha lugha hiyo ni aliyekuwa mpenzi wake ,
Peniel Mungilwa ‘ Diamond aliwataka watu wote
waliokuwa wakiamini Wema ndiye mwalimu wake wa
ung’ eng ’ e wafute imani hiyo kwani Penny ndiye
mpango mzima .
“Ujue kila mtu huwa ana hisia zake na wengi
wamekuwa wakiishi kwa hisia , nimekuwa nikiambiwa
kuwa Wema ana mchango mkubwa katika uzungumzaji
wangu wa Kiingereza jambo ambalo si kweli ,
aliyenifundisha lugha hiyo kwa sehemu kubwa ni Penny
maana aliniletea hadi mwalimu ingawa nilikuwa
nikimlipa mwenyewe , ” alisema Diamond .
 
Attachments

  • 1419320703604.jpg
    1419320703604.jpg
    49.1 KB · Views: 682
Labda ulipitwa tu na hizi habari... hizi habari zilishaandikwa karibu mwaka sasa na source ilikuwa ni watu wa Penny kwamba Penny alitoa mimba ya Chibu kwa sababu hakutaka kuzaa nae kwa hofu ya watoto kuwa wabaya kama Diamond... but yote kwa yote, hiyo habari hapo juu imepotoshwa... alichosema Diamond ni kwamba Penny mwenyewe ndie alisema mimba ilitoka na si kweli kwamba amesema Penny alitoa mimba yake!

Umeangalia vizuri interview ya dai.hebu upendo wetu kwa dai usifunuke mpk yale mabaya yake na tuwe wakweli..mbona yeye ndo kila siku anaongea shit khs ex wake..mi ni mwanamke so nimeimagine hyo ndo mai ex..Yeye alipaswa kuongelea muziki wake vitu vingine ajifunze kuwa na kifua kwa hili hapana aiseee
 
ndomo kigeu geu wewe, si ulisema mama ubaya ndo kakufundisha kiingereza wew? mmh acha uchakubimbi wewe nfyuu
 
Umeangalia vizuri interview ya dai.hebu upendo wetu kwa dai usifunuke mpk yale mabaya yake na tuwe wakweli..mbona yeye ndo kila siku anaongea shit khs ex wake..mi ni mwanamke so nimeimagine hyo ndo mai ex..Yeye alipaswa kuongelea muziki wake vitu vingine ajifunze kuwa na kifua kwa hili hapana aiseee
Nimeweka interview husika hapo juu kwenye post #11 na nimeweka hadi link ya hiyo habari ilivyoripotiwa kwa mara ya kwanza hapa hapa JF tangu january kwahiyo hakuna cha kufunika hapo... kama unatumia simu na simu yako ina uwezo wa kuangalia video, just watch it.... na kama unatumia pc, ndo rahisi zaidi... othewise, soma hiyo habari kwenye mtandao wa Bongo Movie!
 
Alimpaisha Wema kwenye Mkasi,global tv online kamkana!!Huyu naye mnafiki kimtindo!

Umeonaa eeehh yaaan ka wa kike..ukiwa muongo uwe na kumbumbuku na aliongea mwenyewe...Napenda sana nyimbo za daimond ila kuna vitu anafanya mi hta simuelewi
 
Back
Top Bottom