Sawa msemaji wa chibu
Na akishalishika soko la Uganda tu, ndo basi tena kwa hii East Africa coz' soko la Uganda ni gumu sana kulikamata kutokana na staili ya muziki wao wanaoupenda...Chibu sahivi kuingia Uganda hapati tena shida....na hivi karibuni utasikia collabo na legend wa east Africa Dr Jose
Nakupendea sehemu moja tu lakini sitakuambia hadi 2015...Kujutuma kitandani....
merry xmass wadau..diamomd atakua dar live leo na atapiga mzigo na "live band" full shangwe.
nshaijua hiyo sehemu, we nipende tu ila mi sina hiyo....Nakupendea sehemu moja tu lakini sitakuambia hadi 2015...
Mi naona kama wote wanatumianaEti Zari ni msichana!! Domo anatumiwa na huyu na huyu kahaba halafu hajielewi.
Heeee Anafanya wenzie stepping stone......!!!!
mnh! we inaelekea wakati upo primary hadi form one ulikuwa kimbelembele sana darasani! Mwalimu kama utaratibu anauliza darasa: "watoto wazuri mmeelewa...?" darasa zima limeuchuna, we peke yako... "ndiyooooooooooooooo, tumeelewa!" aaaaaargh!!!! hallo geniveros hebu tuambie hapa ikiwa hakuna madent dizaini hiyo hapo juu!!!nshaijua hiyo sehemu, we nipende tu ila mi sina hiyo....
mie sipo huko kabisa na wala sijakaribia huko!!!...linapangiwa foleni basi tu wanaume hawajui hii siri
aiseee ngekua dar nisingemiss hii kituLeo ndani ya "dar live"
ha ha ha yani kama mi ni kimbelembele namba 1 we ni namba 0 make mi sijawaza hivo lol!!!mnh! we inaelekea wakati upo primary hadi form one ulikuwa kimbelembele sana darasani! Mwalimu kama utaratibu anauliza darasa: "watoto wazuri mmeelewa...?" darasa zima limeuchuna, we peke yako... "ndiyooooooooooooooo, tumeelewa!" aaaaaargh!!!! hallo geniveros hebu tuambie hapa ikiwa hakuna madent dizaini hiyo hapo juu!!!
Sa' you know what, uliko wewe wala sio niliko mimi... najua unadhani namaanisha hapa: mie sipo huko kabisa na wala sijakaribia huko!!!
huna lolote... nimekushtukia... na kama hujawaza hivyo, sema hapa ulichowaza...ha ha ha yani kama mi ni kimbelembele namba 1 we ni namba 0 make mi sijawaza hivo lol!!!
Watoto watatu.... Looo!!!!!!
Inaelekea wewe wife akipiga copy tatu mapenzi kwishney!project wema,penny,jokate wapige copy tatu tatu watakuwa na mvuto kama wa zari?