Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Chibu sahivi kuingia Uganda hapati tena shida....na hivi karibuni utasikia collabo na legend wa east Africa Dr Jose
Na akishalishika soko la Uganda tu, ndo basi tena kwa hii East Africa coz' soko la Uganda ni gumu sana kulikamata kutokana na staili ya muziki wao wanaoupenda...
 
merry xmass wadau..diamomd atakua dar live leo na atapiga mzigo na "live band" full shangwe.
 

Attachments

  • 1419491196646.jpg
    1419491196646.jpg
    57.5 KB · Views: 136
Heeee Anafanya wenzie stepping stone......!!!!

Tatizi la diadomo..hajifunzi labda shule ndo inasumbua.Huwezi kutoa sifa kwa mwanamke zinazohusu mambo ya kiuchumi zaidi na kama steaping stone ya kupata ma fans zaidi Uganda!..akitokea mwanamke mwenye pesa zaidi Rwanda na maarufu what are u gonna do..utamwacha Zari na kusema..nadhani sijakosea ..juzijuzi badala ya kutoa pongezi tu kwa jokate..unaanza kuleta unafiki..eeh usijekula pesa ya mchina!jaribu kutulia..its better kama utamuoa black widow zari!na utulie!
 
nshaijua hiyo sehemu, we nipende tu ila mi sina hiyo....
mnh! we inaelekea wakati upo primary hadi form one ulikuwa kimbelembele sana darasani! Mwalimu kama utaratibu anauliza darasa: "watoto wazuri mmeelewa...?" darasa zima limeuchuna, we peke yako... "ndiyooooooooooooooo, tumeelewa!" aaaaaargh!!!! hallo geniveros hebu tuambie hapa ikiwa hakuna madent dizaini hiyo hapo juu!!!

Sa' you know what, uliko wewe wala sio niliko mimi... najua unadhani namaanisha hapa:
...linapangiwa foleni basi tu wanaume hawajui hii siri
mie sipo huko kabisa na wala sijakaribia huko!!!
 
Last edited by a moderator:
mnh! we inaelekea wakati upo primary hadi form one ulikuwa kimbelembele sana darasani! Mwalimu kama utaratibu anauliza darasa: "watoto wazuri mmeelewa...?" darasa zima limeuchuna, we peke yako... "ndiyooooooooooooooo, tumeelewa!" aaaaaargh!!!! hallo geniveros hebu tuambie hapa ikiwa hakuna madent dizaini hiyo hapo juu!!!

Sa' you know what, uliko wewe wala sio niliko mimi... najua unadhani namaanisha hapa: mie sipo huko kabisa na wala sijakaribia huko!!!
ha ha ha yani kama mi ni kimbelembele namba 1 we ni namba 0 make mi sijawaza hivo lol!!!
 
Last edited by a moderator:
mimi nina choona kuwa wasaanii wengine wa TZ hawana mbwembwe za Diamond ndo maana habari za diamond zinavuma sana.......ni kama wak pembeni vile.....huku Diamond yuko uwanjani..

wanashindwa nini kuwaweka wapenzi wao tuwaone....Zari anaweza kuwa mzuri sana au sio mzuri kulinganisha na wanawake wa wasanii wengine but hao wengine mbona wanaficha ficha watu wao?
 
Back
Top Bottom