Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Ndio maan kuna post moja nimewaomba wanitajie idadi ya tuzo za mfalme wao.....diamond kwa tuzo za kimataifa mwaka huu zinafika zaidi ya sita..nikawaomba wao wanitajie hata idadi ya tuzo za king wao hata za kili music awards wajumlishe na ile ya fiesta tuone ni ngapi...

Cha ajabu wanatokwa povu.
 
Uchambuzi mzuri
 
We ni kiaz namba moja sasa wajisifie collabo na dbanj mtu mwenyew kabuma uyo
 
We ni kiaz namba moja sasa wajisifie collabo na dbanj mtu mwenyew kabuma uyo
kama kubuma ni ishu, R.Kelly yuwapi? heheheee, ukitaka kujenga hoja nzuri usiwe mkali kuwaita watu viazi, fanya tafiti njoo na hoja yako utushike..! Anyways kuna wimbo Chris Brown amemshirkisha R Kelly unaitwa Drown in it upo kwene album mpya ya X ambayo CB aliiachia September 16 mwaka huu...On the other hand kuna video mpya ya D'Banj inaitwa Feeling the Nigga imetoka mwishoni mwezi huu.
 
We kidogo mstaarabu unabisha kwa hoja
 
We ni kiaz namba moja sasa wajisifie collabo na dbanj mtu mwenyew kabuma uyo

Are you diamond fan's kama thread inavyosema?
kuwa mstaarabu na uheshimu wenzio.kama unataka kumkosoa diamond kwa lolote lile anzisha uzi wako na sisi tutakuja kumtetea.
 
Are you diamond fan's kama thread inavyosema?
kuwa mstaarabu na uheshimu wenzio.kama unataka kumkosoa diamond kwa lolote lile anzisha uzi wako na sisi tutakuja kumtetea.

Ustarabu gan unaotaka...? Nivue viatu mlangoni au
 
dah hii ndio critical analysis yenyewe
 
Bidii ya kazi ndio itakufanya upendwe na kukubalika hongera diamond
 
Attachments

  • 1419866102224.jpg
    59.8 KB · Views: 176
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…