Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

wapo wengi sana lkn mshindi ni mmoja tu 2014 nae ni diamond
 
Ila Nasib inabidi awe anapumzika hizi shoo mfululizo sidhani kiafya kama ni poa. Jamani naomba mnijuze hivi huko nigeria napo anafuata nini manake sjaelewa.
 
Ila Nasib inabidi awe anapumzika hizi shoo mfululizo sidhani kiafya kama ni poa. Jamani naomba mnijuze hivi huko nigeria napo anafuata nini manake sjaelewa.

Anaenda kugonga show mkuu..money making tu ndo kinachoendelea maneno tumewaachia wengine sahivi ni kazi tu
 

nimeipenda sana hiii,,,,,, ilistahili uzi wake original..
 
kwa hisani ya wall yake fb... NOTING TO ADDOO
 
Ila Nasib inabidi awe anapumzika hizi shoo mfululizo sidhani kiafya kama ni poa. Jamani naomba mnijuze hivi huko nigeria napo anafuata nini manake sjaelewa.

Kuna show pia kule na kuhusu kupumzika ata mzee njenje aliwashaur sana wasanii wapumzike atakama shoo ni pesa kubwa kiasi gan ila mwili hauna spea
 
Acha muvi iendelee! Ile projekti ya mastaa wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' na Zarinah Hassan ‘Zari' sasa imenoga


Mastaa wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' na Zarinah Hassan ‘Zari'wakila ujana.

Habari zinaeleza kwamba katika pati ya mwaka ya Zari wiki iliyopita iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Guvnor uliopo Kampala, Uganda mwanadada huyo hakuishia kwenye pati tu bali alitumia nafasi hiyo kumtambulisha Diamond aliyekuwa mgeni rasmi kuwa kwa sasa wao ni wapenzi.

Mbali na mahaba niue waliyooneshana mbele za watu, wawili hao walitumia chansi hiyo ‘kudendeka' mbele ya kamera hivyo kudhihirisha kwamba mambo yao yapo juu ya mstari.

Acha muvi iendelee! Ile projekti ya mastaa wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' na Zarinah Hassan ‘Zari' sasa imenoga.
 
Ngojea tusubiri le Tamkoz kutoka kwa king of all Social medias
 
Sisi hatu angalii nani mkali kati ya dai na kiba at radio one.....ukali uko huku.
 

Attachments

  • 1419913705955.jpg
    74 KB · Views: 145
Tatizo....................
 

Attachments

  • 1419917859827.jpg
    59.1 KB · Views: 180
  • 1419917897557.jpg
    58.6 KB · Views: 174
  • 1419917915086.jpg
    47.9 KB · Views: 176
  • 1419917945601.jpg
    50.2 KB · Views: 172
  • 1419917966215.jpg
    58 KB · Views: 173
  • 1419917977236.jpg
    98.7 KB · Views: 166
  • 1419917995034.jpg
    51.8 KB · Views: 166
Show ya east African party ya Jan 1 kiingilio ni elfu 3 pesa za Rwanda na 10,000 for VIP pesa za Rwanda pale amahoro stadium
 

Attachments

  • 1419918145370.jpg
    78.4 KB · Views: 200
Kwa show ya vibe party ya mkesha wa mwaka mpya ni pale expo grounds kwa mtonyo wa 10000 faranga za Rwanda
 

Attachments

  • 1419918313403.jpg
    78.6 KB · Views: 193
Asanteni Rwanda kwa kumkubali na kumpokea vyema rais licha ya tension za kisiasa zilizopo,hiii inaonyesha ni kiasi gani muziki ni kitu kinachoweza waweka watu pamoja licha ya tofauti zao zingine..
Mlakoze.



Source: inyarwanda.com
 

Attachments

  • 1419918438246.jpg
    63.6 KB · Views: 198
  • 1419918452610.jpg
    81.2 KB · Views: 186
  • 1419918466198.jpg
    78.1 KB · Views: 183
  • 1419918480496.jpg
    61.9 KB · Views: 175
  • 1419918497115.jpg
    64.2 KB · Views: 173
  • 1419918508097.jpg
    55.7 KB · Views: 171
  • 1419918519763.jpg
    71.8 KB · Views: 172
duh ni noma asee huyu jamaa anafaidi mtoto mtamu. kwa hivi jamaa ni next level big up platnumz wakimbize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…