haiwezekani lazima mzee yusuf alikuwepo hapa c.c matola
Heri Ya Mwaka Mpya 2015 Enyi Watalaamu wa Kuchagua Vizuri...
Dah... afu sijui ulijificha wapi wewe!!!Nawe pia heri ya mwaka mpyaaa....
Dah... afu sijui ulijificha wapi wewe!!!
Acha tu... mwisho wa mwaka ni full bullying! Nilikuwa na siku sita chungu sana za kumalizia december to the point, baada ya kukamilisha hiki na kile, nikajikuta kama cku tatu hivi sijisikii kufanya chochote kile zaidi ya kucheki movie!!Nlikuwa busy kidooogo...ila nipo sanaaa
Kwa hiyo bifu limeisha?
View attachment 215168vitendo vinaongea
Mm nshasema najitoa team chibu....mpaka king wetu arudi kwenye game....maana hiii singo alikua anajaribu tuu mwaka huuu anauwasha moto......si eti watwana wa king kiki???
Acha tu... mwisho wa mwaka ni full bullying! Nilikuwa na siku sita chungu sana za kumalizia december to the point, baada ya kukamilisha hiki na kile, nikajikuta kama cku tatu hivi sijisikii kufanya chochote kile zaidi ya kucheki movie!!
watu na nyota zenu, haya banaMm nshasema najitoa team chibu....mpaka king wetu arudi kwenye game....maana hiii singo alikua anajaribu tuu mwaka huuu anauwasha moto......si eti watwana wa king kiki???
heri ya mwaka mpya mkuu, nilikutag kwenye post yangu ya onyesho la "diamonds are forever"kwi kwi kwi kwi.
heri ya mwaka mpya mkuu, nilikutag kwenye post yangu ya onyesho la "diamonds are forever"
We innocizy ni jinsia gani