chambonga
Senior Member
- Nov 5, 2014
- 154
- 81
haiwezekani lazima mzee yusuf alikuwepo hapa c.c matola
mkuu yaani umegonga ikulu, sasa sijui watasemaje? Hicho ndicho kilichomwangusha mfalme wao kutokubali kuwa jamaa yupo matawi mengine, wanachojua ni majungu tu! Hiyo ni one man show siyo fiesta inayojumuisha wanamuziki wa kimataifa na wa nyumbani!
