Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Wee acha tuu...hapo unapumbazwa unapumbazika. Ila wanaume wa kigoma ndo zao, wanapenda hao, wanajali hasaaa ila wivuuuuuu.....
Inawezekana na mimi nina asili ya Kigoma nini? Vipi wa kule pande zetu? Au ukiwazingua na wewe wanakuzingua!!!!??
 
Anamaliza mwaka vizuri na anauanza mwingine kwa bang! Kwa hakika kuendelea kumponda mtu kama huyu ni kudhirisha uzuzu ambao ilikuwa ni rahisi kabisa kuuficha.

hahahahaha... Waache tu. Tumeshatimiza wajibu wetu kuwashauri.
 
hahahahaha... Waache tu. Tumeshatimiza wajibu wetu kuwashauri.
Halafu karibu from January 2014 to December mara zote nimekuwa nikiwaambia kwamba kutompenda Chibu ni kujitafutia stress na ugonjwa wa moyo bila sababu...
 
mnh! we nawe... unafanya kama huijui minaume ya kiafrika vile... yenyewe ikisikia zawadi nzuri tu; inafikiria mbaaaaaaaaaaaaali!! Basi haya, nakutajia muda si mrefu...

Hahaaaaa no comment
 
Anamaliza mwaka vizuri na anauanza mwingine kwa bang! Kwa hakika kuendelea kumponda mtu kama huyu ni kudhirisha uzuzu ambao ilikuwa ni rahisi kabisa kuuficha.

Hivi kwani bado wapo wanaomponda?
 
Hivi kwani bado wapo wanaomponda?
Wameishiwa hoja... hivi sasa "hoja" yao ni kwamba hana uwezo wa kupiga mimba... yaani kutoka kwenye vituko na vihoja, sasa wamehamia kwenye viroja ili mradi tu waendelee kuchukua nafasi ya Tom na Jerry ili waungwana tupendao vizuri tuendelee kuburudika na viroja vyao!!!
 

Hahaaaahaaa wanavituko kweli sasa walimpima,?
 
Hahaaaahaaa wanavituko kweli sasa walimpima,?
Kila wanapokuja na hiki kiroja huwa nawauliza kwamba, watu kama Wema, Jokate, Penny, Wolper wote hao na wengine kama hao, kabla hawajakutana na Chibu wamepita sehemu kibao... je, huko kote walikopita wameacha watoto wangapi au mimba ngapi? Bado sijapata jibu na sidhani kama nitakuja kupata jibu la hilo swali...
 

Watutolee uzuzu wao hapa
 
Watutolee uzuzu wao hapa
Hapo sasa... lakini anyway, hawana kingine cha kuongea kwahiyo sio mbaya wakijifurahisha kwa lolote watakalo kama cku nilipokuta wanashangilia Ali K kumshinda Diamond kwenye Nani Zaidi ya Radio One... wallah hiki kipindi nilishakisahau manake am sure nina zaidi ya miaka 5 sijawahi kukisikiliza!!
 
teh teh teh
 

Mkuu ulitaka wanune akati ndo tuzo zao???? Hahaha
 
Kuna Uzi mmoja mdau alifungua wa al Jazeera kufanya mahojiano na diamond na jamaa akadai amekiona....hilo povu la haters sasa jamani nilichoka..MTU anabisha kwamba Jazeera hawawezi kabisa Fanya huo UPUUZI(akiwa na maana kumhoji na kurusha kipindi cha diamond) kwamba wana mengi ya kurusha kama palestina na sio diamond...povu likawatoka kweli kweli....


Juzi wote tumetazama kipindi hicho,sa Niko najiuliza wale jamaa how do they feel now????



Hio ndio definition ya chuki bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…