Inawezekana na mimi nina asili ya Kigoma nini? Vipi wa kule pande zetu? Au ukiwazingua na wewe wanakuzingua!!!!??Wee acha tuu...hapo unapumbazwa unapumbazika. Ila wanaume wa kigoma ndo zao, wanapenda hao, wanajali hasaaa ila wivuuuuuu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana na mimi nina asili ya Kigoma nini? Vipi wa kule pande zetu? Au ukiwazingua na wewe wanakuzingua!!!!??Wee acha tuu...hapo unapumbazwa unapumbazika. Ila wanaume wa kigoma ndo zao, wanapenda hao, wanajali hasaaa ila wivuuuuuu.....
Kaingia kaburini na tasnia yake kwa kweli... so sad! I like Bongo Movie industry lakini tatizo ni kwamba haipendeki kabisa!kufa kwa kanumba na bongo muvi imesha kufa
Anamaliza mwaka vizuri na anauanza mwingine kwa bang! Kwa hakika kuendelea kumponda mtu kama huyu ni kudhirisha uzuzu ambao ilikuwa ni rahisi kabisa kuuficha.
Halafu karibu from January 2014 to December mara zote nimekuwa nikiwaambia kwamba kutompenda Chibu ni kujitafutia stress na ugonjwa wa moyo bila sababu...hahahahaha... Waache tu. Tumeshatimiza wajibu wetu kuwashauri.
mnh! we nawe... unafanya kama huijui minaume ya kiafrika vile... yenyewe ikisikia zawadi nzuri tu; inafikiria mbaaaaaaaaaaaaali!! Basi haya, nakutajia muda si mrefu...
Anamaliza mwaka vizuri na anauanza mwingine kwa bang! Kwa hakika kuendelea kumponda mtu kama huyu ni kudhirisha uzuzu ambao ilikuwa ni rahisi kabisa kuuficha.
Hayaa, mine reserved for a little bit longer!Hahaaaaa no comment
Wameishiwa hoja... hivi sasa "hoja" yao ni kwamba hana uwezo wa kupiga mimba... yaani kutoka kwenye vituko na vihoja, sasa wamehamia kwenye viroja ili mradi tu waendelee kuchukua nafasi ya Tom na Jerry ili waungwana tupendao vizuri tuendelee kuburudika na viroja vyao!!!Hivi kwani bado wapo wanaomponda?
Wameishiwa hoja... hivi sasa "hoja" yao ni kwamba hana uwezo wa kupiga mimba... yaani kutoka kwenye vituko na vihoja, sasa wamehamia kwenye viroja ili mradi tu waendelee kuchukua nafasi ya Tom na Jerry ili waungwana tupendao vizuri tuendelee kuburudika na viroja vyao!!!
Anamaliza mwaka vizuri na anauanza mwingine kwa bang! Kwa hakika kuendelea kumponda mtu kama huyu ni kudhirisha uzuzu ambao ilikuwa ni rahisi kabisa kuuficha.
Kila wanapokuja na hiki kiroja huwa nawauliza kwamba, watu kama Wema, Jokate, Penny, Wolper wote hao na wengine kama hao, kabla hawajakutana na Chibu wamepita sehemu kibao... je, huko kote walikopita wameacha watoto wangapi au mimba ngapi? Bado sijapata jibu na sidhani kama nitakuja kupata jibu la hilo swali...Hahaaaahaaa wanavituko kweli sasa walimpima,?
Labda kaahidiwa donge na Papaa Matola, muzee ya kuandaa makompitisheni!Nahisi kahama team si buree...hata kutoa salamu humu ndani hataki
Kila wanapokuja na hiki kiroja huwa nawauliza kwamba, watu kama Wema, Jokate, Penny, Wolper wote hao na wengine kama hao, kabla hawajakutana na Chibu wamepita sehemu kibao... je, huko kote walikopita wameacha watoto wangapi au mimba ngapi? Bado sijapata jibu na sidhani kama nitakuja kupata jibu la hilo swali...
Hapo sasa... lakini anyway, hawana kingine cha kuongea kwahiyo sio mbaya wakijifurahisha kwa lolote watakalo kama cku nilipokuta wanashangilia Ali K kumshinda Diamond kwenye Nani Zaidi ya Radio One... wallah hiki kipindi nilishakisahau manake am sure nina zaidi ya miaka 5 sijawahi kukisikiliza!!Watutolee uzuzu wao hapa
teh teh tehHapo sasa... lakini anyway, hawana kingine cha kuongea kwahiyo sio mbaya wakijifurahisha kwa lolote watakalo kama cku nilipokuta wanashangilia Ali K kumshinda Diamond kwenye Nani Zaidi ya Radio One... wallah hiki kipindi nilishakisahau manake am sure nina zaidi ya miaka 5 sijawahi kukisikiliza!!
Hapo sasa... lakini anyway, hawana kingine cha kuongea kwahiyo sio mbaya wakijifurahisha kwa lolote watakalo kama cku nilipokuta wanashangilia Ali K kumshinda Diamond kwenye Nani Zaidi ya Radio One... wallah hiki kipindi nilishakisahau manake am sure nina zaidi ya miaka 5 sijawahi kukisikiliza!!