Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Hahahaaaa kumbe bado kipogo duuh mara ya mwisho kukisikiliza nilikuwa primary
 

Mwisho wa ubaya ni aibu,,,
 
umezuka mjadala mkubwa twitter, eti ni sawa bwana diamond/wanaume kubeba handbags za bibi zao?
 
umezuka mjadala mkubwa twitter, eti ni sawa bwana diamond/wanaume kubeba handbags za bibi zao?

Hii mijadala itazuka mingi sana.....



Soon utasikia mjadala "je ni sahihi diamond kuimba music"







Si wajua tena debe tupu.....................
 

ndo ujue akili za wenzetu zilivyo fupi...
 

ha ha ha... Wakafue sasa na hayo MAPOVU...

MTU ANATOKA POVU MPAKA ANATENGENEZA RADI. MAMBO GANI HAYAAA..
 
Davido yupo kwenye hii category?

AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR

1.Uhuru
2.Sauti Sol
3.Mi Casa
4.Stanley Enow
5.Diamond Platnumz
6.Mafikizolo
7.Efya
8.Sarkodie
9.Cassper Nyovest
10.Fuse ODG
.... ....

Kazi ipo hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…