Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Davido hayupo.. hii ni category ya wanamuziki nje ya Nigeria
Hapa tishio ni Mafikizolo tu na Wanageria kwa hasira hawawezi kuwapa mafikizolo, the guy from TZ ana advantage kubwa ya kushinda tuzo hii.AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR
1.Uhuru
2.Sauti Sol
3.Mi Casa
4.Stanley Enow
5.Diamond Platnumz
6.Mafikizolo
7.Efya
8.Sarkodie
9.Cassper Nyovest
10.Fuse ODG
.... ....
Kazi ipo hapo...
Hapa tishio ni Mafikizolo tu na Wanageria kwa hasira hawawezi kuwapa mafikizolo, the guy from TZ ana advantage kubwa ya kushinda tuzo hii.
Kuna huyo FUSE ODG ni noma.,., mzee wa AZONTO, ANTENA(feat. Wyclif)

Davido yupo kwenye hii category?
Hapa tishio ni Mafikizolo tu na Wanageria kwa hasira hawawezi kuwapa mafikizolo, the guy from TZ ana advantage kubwa ya kushinda tuzo hii.
Dai mwisho wa reli, yule mpuuzi anarekodi video inayoanzia chooni hivi ana akili kweli? Ubunifu ziro kabisa kule mtaa wa pili
God will help... I hope wenzetu hawawezi kuwa na ujinga uliopitiliza kama tuliokuwa nao sisi na hii itakuwa ndio kipimo cha ukomavu wao manake yaliyotokea ingekuwa ndo yametokea kwa Diamond kutoka kwa wa-Naija halafu Davido ndo anatimba Bongo... mbona angekiona!Tuombe wawe wamesahau upuuzi wa wachache aliofanyiwa davido la sivyo wanatuadhibu live
hizi nondo zingine mtawafanya watu wawe wanaugua mafua kila siku...hongera, umesikika.. All about diamond. Mtakula vifuu mwaka huu,,,
damn.
God will help... I hope wenzetu hawawezi kuwa na ujinga uliopitiliza kama tuliokuwa nao sisi na hii itakuwa ndio kipimo cha ukomavu wao manake yaliyotokea ingekuwa ndo yametokea kwa Diamond kutoka kwa wa-Naija halafu Davido ndo anatimba Bongo... mbona angekiona!
Binafsi hofu yangu ni show na sio hizo tuzo coz' mara zote wenye matatizo ni mashabiki na sio watu kama waandaji wa tuzo! Hata hivyo, kinachonipa matumani ni kwamba Nigeria is a big country, especially in terms of population size! I hope lile sakata lilipata sana airtime hapa Tanzania kuliko Nigeria... so, I bet only a small part of Nigerian population ndio wanafahamu kwamba Watanzania walimnyea mbaya one of their beloved guy Davido!show ya tarehe nane itafuta madhambi yote
u got it right....lolIs this me you like?
So good so beautiful... am feeling myself flying high around the sky like no one else and with no stress! What do I need more...u got it right....lol
Inawezekana na mimi nina asili ya Kigoma nini? Vipi wa kule pande zetu? Au ukiwazingua na wewe wanakuzingua!!!!??
Mnh! Ukisikia majungu na fitina ndo hizi sasa... sasa kwa taarifa yako hakuna ajuaje kuyapalilia mahaba na mahabat kama mimi...Hii post nlichelewa kuiona, natumia wapsite so notification hadi nizisake...Tatizo kaka zetu wa South wajeuri hao, halafu wanasusaaa. nongwaaa...
Ila kuhusu wewe nipe no za WiFi nimuulize...
Mnh! Ukisikia majungu na fitina ndo hizi sasa... sasa kwa taarifa yako hakuna ajuaje kuyapalilia mahaba na mahabat kama mimi...
God will help... I hope wenzetu hawawezi kuwa na ujinga uliopitiliza kama tuliokuwa nao sisi na hii itakuwa ndio kipimo cha ukomavu wao manake yaliyotokea ingekuwa ndo yametokea kwa Diamond kutoka kwa wa-Naija halafu Davido ndo anatimba Bongo... mbona angekiona!
mambo c ndo hayo... we hujui kwamba kuna mtoto humu namlia mingo kwahiyo inabidi nijipaishe ili niue tembo kwa ubua...Hongera zakooo...