Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

phobia hiyo mkuu, hata ungekua wewe mtu ambae unadhani una mafanikio zaidi yake anafanya mambo ambayo wewe hua unaota kufanya lazima uogope...Davido anaogopa kua chini ya mtu aliemsaidia
 

Kama ndo hivyo basi huyu Davido ana matatizo
 
nyie wote humu wase........ng....e
doh...aimbiwe huyu jamani " MWENDAWAZIMU KAINGIAJE "
Hamna kitu kibaya kama stress… huyu ni wa kusamehewa tu manake mlolongo wa posts zake unaonesha wazi kwamba yupo kwenye wakati mgumu hivyo ni wa kumsamehe tu. Kwanza jamaa ni jitu zima lakini lina kibolo pipi... huyu hapa:
Wanajamvi naomba ushauri wenu mimi sijaoa umri wangu ni miaka 27, tatizo langu ni uume wangu kulingana kama wa mtoto mdogo…..
Wakati anasumbuliwa na kibolo pipi kwa upande mwingine anasumbuliwa na ukosefu wa ajira:
Mimi ni muhitimu wa (EastAfrica Utalii College) nina Diploma in Hotel management na mzoefu katika kazi hii kupitia sehemu mbalimbali na makampuni mbalimbali ya kitalii hapa nchini kwa sasa nipo mwanza. natafuta sehemu ya hotel yoyote yakufanya kazi.
natafuta kazi ya operational …kitengo na uzoefu wangu miaka{ 3} in waste water treatment plant no.0765469266.email;........
Mimi ninatafuta nafasi yakazi ya kuendesha mitambo ya kisasa ya utibuni maji….
Ilipofika March 01, 2014 akajifanya eti amepata kazi magereza; huyu hapa:
Wanandugu tujuzane mwenye ufahamu wa( takehome) ya askari wa magereza ambaye hana taaluma. Maana mimi ni miongoni mwa anaye elekea huko…

Kumbe hakufahamu kwamba Magereza hawachukui watu wenye stress wakaishia kuiba dona na maharage ya wafungwa, wakamtosa akaendelea kuhangaika. Kiwango cha stress kilipopanda kiwango cha juu kabisa, akajitia eti ujasiriamali; October 18, 2014 akajifanya eti ana sh. 50,000,000/-!!!!
Wakubwa nisaidie mimi nataka kujikita kwenye biashara ya guest je? Kwasasa hela ambayo nimeisha kukusanya haizidi Tsh. 50ml kiwanja kipo tayari.
October 18, 2014 ana sh. Milioni 50 na anataka kujenga guest house, lakini mwezi mmoja baadae, November 15, 2014 anaanza kuwalilia tena wana jamvi wamsaidie kupata kazi:
natafuta kazi ya operational kitengo na uzoefu wangu miaka{ 3} in waste water treatment plant ........
Kazi hana; mtu mwenyewe kibolo pipi lakini bado anataka michepuko:
Mimi niko kwenye basi morro-Mwanza je wapi naweza pata kamchepuko huko mwanza?. NITA KAA SIKU MBILI. Jamani nisaidie niko hoi wapendwa
Halafu anavyopenda kusaidiwa!!!! Kila kazi unayoomba unakosa, unaonaje ukienda kwa Diamond akakuajiri kama mcheza show?


 
chige umenkumbusha jamaa aitwae JMAll hahaha anajuaga waumbua watu hahaha....huyuu akirudi tena bhasi ntaamini there are people who are true definition of the word "fool"
 
Last edited by a moderator:

Perfect,...!!
 
doh humu ndani pakua napo makini sana humu..! chige unanitisha, imebidi nianze kuangalia posts zangu za nyuma usije kupata leverage ya ushindi siku moja
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa nimechekaa sanaaaa...Kaka naenda mbagala kukununulia ming'oko ya zawadiii....
 

Hahahahahahahaha we jamaa noma...alafu kama nakufananisha hiviii !
 

daah mwanangu umetisha sna ha ha ha stress ni noma sna.
 

mkuu umeuwa kabisa.
 

mkuu nimecha sana mpaka tumbo linauma da my days
 
Sijui kapewa nafasi ya kuimba nyimba ngapi kwenye GLO-CAF AWARDS ila mi namshauri aimbe #1 na mdogo mdogo in case only two songs
 
Wewe ni shahidi yangu pia jinsi nilivyotumia muda mwingi wakati ule kulaani kitendo cha mashabiki kumshambulia Davido. Safari hii, ingawaje siwezi kujivika uzuzu na kuanza kumtukana mtu, lakini juzi nilimfuata huko huko Twitter na kumpa za uso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…