Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

lakini kuna hii ya dauda alipokua dubai wakati davido anapiga showView attachment 216633
Mkuu, usisahau kwamba Davido alikuwepo kwenye uzinduzi wa Clouds International huko huko Dubai kwahiyo katika mazingira kama hayo lazima atajifanya kuonesha peace and love... in short inawezekana ikawa ni unafiki fulani hivi.
 
doh humu ndani pakua napo makini sana humu..! chige unanitisha, imebidi nianze kuangalia posts zangu za nyuma usije kupata leverage ya ushindi siku moja
hahahahaaaa.... mkuu BestOfMyKind, jambo kama hilo haliwezi kutokea... nililazimika kumuumbua huyo mpuuzi kwa kuwa ndicho alichostahili!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa nimechekaa sanaaaa...Kaka naenda mbagala kukununulia ming'oko ya zawadiii....
E bwana eh... yaani mamangu akisikia hiyo offer, anaweza kuagiza hata chakula kisipikwe ili asije akashiba na kushinddwa kuula ming'oko...
 
E bwana eh... yaani mamangu akisikia hiyo offer, anaweza kuagiza hata chakula kisipikwe ili asije akashiba na kushinddwa kuula ming'oko...

Ile kitu noma, sasa ile uniatafutia ndimu na pilipili..duh unaweza kumaliza sufuria nzima.

Umeniacha hoi sana, yani jamaa akirudi tena humu atakuwa na roho ya paka...
 
🙂🙂🙂
 

Attachments

  • 1420695084851.jpg
    1420695084851.jpg
    29 KB · Views: 185
Ile kitu noma, sasa ile uniatafutia ndimu na pilipili..duh unaweza kumaliza sufuria nzima.

Umeniacha hoi sana, yani jamaa akirudi tena humu atakuwa na roho ya paka...
Aisee mi mshamba sana wa hiyo makitu na wala sikumbuki nimekula lini mara ya mwisho ila nilipokula, niliipenda aisee... lakini Bi Mkubwa, wacha bwana... humwambii kitu na vyakula vya nyumbani... kuna cku nimemkuta anaufinya ugali wa muhogo; namuuliza umeutoa wapi... kumbe kaenda mwenyewe Tandika kununua makopa... nikaona, duh... kweli jasiri haachi asili!! Halafu ninavyomkubali huyu Bi. Mkubwa, pande zile kakaa muda mfupi sana wa maisha yake... in fact, wakati yupo kabinti kadogo lakini hajasahau kabisa asili yake!! Lakini nyie mashost wa cku hizi... mnh, hamkawagi "aka, mie siwezi kuula huo ugali wa kunata..." aaaaargh, halafu unakuta mtu mwenyewe anayesema hivyo kaja mjini juzi kati tu hapa!!!!
 
Walisema hawamjui diamond...?¿
 

Attachments

  • 1420695853922.jpg
    1420695853922.jpg
    58.4 KB · Views: 179
Naomba mnisaidie hii show ya nigeria tv gani itakayoonyesha?
 
President himself...
 

Attachments

  • 1420743300060.jpg
    1420743300060.jpg
    23.4 KB · Views: 192
  • 1420743315259.jpg
    1420743315259.jpg
    55 KB · Views: 186
  • 1420743347207.jpg
    1420743347207.jpg
    38.6 KB · Views: 182
Back
Top Bottom