Mkuu, usisahau kwamba Davido alikuwepo kwenye uzinduzi wa Clouds International huko huko Dubai kwahiyo katika mazingira kama hayo lazima atajifanya kuonesha peace and love... in short inawezekana ikawa ni unafiki fulani hivi.lakini kuna hii ya dauda alipokua dubai wakati davido anapiga showView attachment 216633
hahahahaaaa.... mkuu BestOfMyKind, jambo kama hilo haliwezi kutokea... nililazimika kumuumbua huyo mpuuzi kwa kuwa ndicho alichostahili!!!doh humu ndani pakua napo makini sana humu..! chige unanitisha, imebidi nianze kuangalia posts zangu za nyuma usije kupata leverage ya ushindi siku moja
E bwana eh... yaani mamangu akisikia hiyo offer, anaweza kuagiza hata chakula kisipikwe ili asije akashiba na kushinddwa kuula ming'oko...Hahahaaaa nimechekaa sanaaaa...Kaka naenda mbagala kukununulia ming'oko ya zawadiii....
Kwah! kwah! Kwah! Mkuu matumbo unaongeza list... alianza nifah kunifananisha, kisha akaja geniveros , akafuatia Mrembo by Nature na sasa wewe!!!Hahahahahahahaha we jamaa noma...alafu kama nakufananisha hiviii !
Mkuu Chinga One, asikuambie mtu kuhusu stress... stress zenyewe zikihusu mambo mazito zaidi kwa mwanaume!!!!daah mwanangu umetisha sna ha ha ha stress ni noma sna.
E bwana eh... yaani mamangu akisikia hiyo offer, anaweza kuagiza hata chakula kisipikwe ili asije akashiba na kushinddwa kuula ming'oko...
Aisee mi mshamba sana wa hiyo makitu na wala sikumbuki nimekula lini mara ya mwisho ila nilipokula, niliipenda aisee... lakini Bi Mkubwa, wacha bwana... humwambii kitu na vyakula vya nyumbani... kuna cku nimemkuta anaufinya ugali wa muhogo; namuuliza umeutoa wapi... kumbe kaenda mwenyewe Tandika kununua makopa... nikaona, duh... kweli jasiri haachi asili!! Halafu ninavyomkubali huyu Bi. Mkubwa, pande zile kakaa muda mfupi sana wa maisha yake... in fact, wakati yupo kabinti kadogo lakini hajasahau kabisa asili yake!! Lakini nyie mashost wa cku hizi... mnh, hamkawagi "aka, mie siwezi kuula huo ugali wa kunata..." aaaaargh, halafu unakuta mtu mwenyewe anayesema hivyo kaja mjini juzi kati tu hapa!!!!Ile kitu noma, sasa ile uniatafutia ndimu na pilipili..duh unaweza kumaliza sufuria nzima.
Umeniacha hoi sana, yani jamaa akirudi tena humu atakuwa na roho ya paka...
Diamond hadi wanamaliza sho huko Lagos, atakuwa tayari keshapoteza angalu kambavu kamoja kwa kuchekeshwa na huyu Fally Pupa... cjui huwa anamwambiaga nini:
Walisema hawamjui diamond...?¿
Go go go.. platnumz!!
Huyo Davido akafie mbele huko...... amekua mtabiri siku hizi
Naomba mnisaidie hii show ya nigeria tv gani itakayoonyesha?