Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond n Paul wakati paul alipotamka Tomaaaas wakati akijaribu kuimba mdogomdogo..
(Mdogomdogo ndio moja ya nyimbo zinazomkosha )

Hahahaha imenichekesha sana hii... good morning

nataman ningemsikia maana huu wimbo navoupenda
 
nataman ningemsikia maana huu wimbo navoupenda

Kichupa kimesimama jamaa ni mtunzi mzuri sana... na hapo bado ametumia kiswahili wana ukubali lakini hawajui maana ya maneno... s/o to him kiswahili kinapata kupaa pia

We are the best 2015
 
Hizi kura kuna ukomo wa kupiga kura au unapiga mara nyinginyingi tu?@kidingi
 
Ahsante sana@ chukuachako, dah kama ni mara moja inabidi tushawishi sana watu wapige kura
 
Tunakumbushwa kupiga kura wakuu muhimu sana tufanye kweli tuzo ije nyumbani... hakuna uhitaji wa kujiunga na email wala nini ni kupiga kura tu best African artiste link hii
DOWNLOAD:tooXclusive AWARDS 2014 - VOTE NOW!
Thank you for this useful posted link! Wakati wengine walikuwa wanahangaika kupiga kura Radio One, nadhani wale wanaojitambua wangependa kuchukua fursa hii kupiga kura huku... Kauli Mbiu: "Mimi Nimepiga Na Nitaendelea Kupiga, Wewe Je?"

C.c Chinga One, Eshy m.s, Kim nana, zai katoto, ma2mbo, Heaven on Earth, chukuachako, Innocizy, BestOfMyKind, Paula kilaki, we miss you here, data, el nino, IFRS, matenene, Mkuu Opera Min, where ru dude? Murano,
 
hahaaaaa umenichekesha asubuhi asubuhi.. eti wanahangaika kupga kura radio one.. yani nikisoma post zako huwa najiandaa kucheka
 
Back
Top Bottom