chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Diamond n Paul wakati paul alipotamka Tomaaaas wakati akijaribu kuimba mdogomdogo..
(Mdogomdogo ndio moja ya nyimbo zinazomkosha )
Hahahaha imenichekesha sana hii... good morning
nataman ningemsikia maana huu wimbo navoupenda
Hizi kura kuna ukomo wa kupiga kura au unapiga mara nyinginyingi tu?@kidingi
ni mara moja tu aisee
Thank you for this useful posted link! Wakati wengine walikuwa wanahangaika kupiga kura Radio One, nadhani wale wanaojitambua wangependa kuchukua fursa hii kupiga kura huku... Kauli Mbiu: "Mimi Nimepiga Na Nitaendelea Kupiga, Wewe Je?"Tunakumbushwa kupiga kura wakuu muhimu sana tufanye kweli tuzo ije nyumbani... hakuna uhitaji wa kujiunga na email wala nini ni kupiga kura tu best African artiste link hii
DOWNLOAD:tooXclusive AWARDS 2014 - VOTE NOW!
Sure... hata mimi nilijaribu kurudia, nikapata msg kwamba kura yangu imeshahesabiwa...ni mara moja tu aisee
Kabisa... watumie carbon copy kwenye msg zako kuwakumbusha...Hizi kura kuna ukomo wa kupiga kura au unapiga mara nyinginyingi tu?@kidingi
Sure... hata mimi nilijaribu kurudia, nikapata msg kwamba kura yangu imeshahesabiwa...
Marahaba mtoto mzuri, shemeji yangu hajambo enh?Nishapigaaaaa.....Shikamo Kaka...
Marahaba mtoto mzuri, shemeji yangu hajambo enh?
Ahsante sana@ chukuachako, dah kama ni mara moja inabidi tushawishi sana watu wapige kura
Thank you for this useful posted link! Wakati wengine walikuwa wanahangaika kupiga kura Radio One, nadhani wale wanaojitambua wangependa kuchukua fursa hii kupiga kura huku... Kauli Mbiu: "Mimi Nimepiga Na Nitaendelea Kupiga, Wewe Je?"
C.c Chinga One, Eshy m.s, Kim nana, zai katoto, ma2mbo, Heaven on Earth, chukuachako, Innocizy, BestOfMyKind, Paula kilaki, we miss you here, data, el nino, IFRS, matenene, Mkuu Opera Min, where ru dude? Murano,
hii ni mara yangu ya kwanza kumpigia msanii kura.....
mnh! haya...Nadhani hajambo...
Kuna siku nililazimika kutafuta lyrics za Mdogo mdogo... dah, nyimbo ina mashairi makali sana ile.nataman ningemsikia maana huu wimbo navoupenda