Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua,
Licha ya burudani na mapenzi yangu akatimua.

Kile kinanda sasa "tilii tilililiii tilii tililiiiiiiiiii"
 
hahaaaaa umenichekesha asubuhi asubuhi.. eti wanahangaika kupga kura radio one.. yani nikisoma post zako huwa najiandaa kucheka
Hivyoo enh!! Nikodi basi niwe nakuja kukuchekesha kwenu kabisa... ukiamka tu, unanikuta nimekaa juu ya meza nakusubiria Bint Mfalme nikuchekeshe, au?! NItaanza ku-dance na staili ya Ali Kiba... ile ya jogoo anayemmendea mtetea!!
 
hahaaaa ile siitaki labda udance ya nataka kulewa
 
Kamaamejisahau inabidi cc tuandike tuzo atakayochukua ni sifa,kwetu watanzania nakuitangaza tanzania yetu. Plz kila mmoja aandike.
 
Kamaamejisahau inabidi cc tuandike tuzo atakayochukua ni sifa,kwetu watanzania nakuitangaza tanzania yetu. Plz kila mmoja aandike.
Team yake ndo imejisahau manake kwa jinsi alivyo na Team kubwa vile, kama wangejipanga basi hadi hapa tunapoongea ingeakuwa tayari ameshapata kura za kutosha! Chibu mwenyewe kusahau lazima asahau tu... jamaa ana ratiba ngumu sana! Manake karibu mwezi sasa... leo yupo huku, kesho yupo kule... hadi kitanda chake kinamsahau!
 
Ilakina pedwa na wadada wakina chibu wako wengi sana huko mbagara we tafuta ka men kembamba ila kawe na mdomo mipana lazima awe na lungu kubwa LA lusugulia papuchi na were ujifanye wema na hiyo mwenye lungu kubwa awe dai wakiwa wanamzungumzia nawewajiona ndio wewe zari au wema
 
Umeelewa Ulichoandika?
 
Hivyoo enh!! Nikodi basi niwe nakuja kukuchekesha kwenu kabisa... ukiamka tu, unanikuta nimekaa juu ya meza nakusubiria Bint Mfalme nikuchekeshe, au?! NItaanza ku-dance na staili ya Ali Kiba... ile ya jogoo anayemmendea mtetea!!

Hahahaha dah jogoo anayemmendea teteaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwenye kupiga kura tunapiga mara moja na ukipiga wanakujibu "thanks for your vote" ukiendelea haihesabiki... LAKINI ukibadili browser kwenye kifaa hichohicho kama operamini, internet browser, google, n.k inakubali..

Tuhamasishane na ambao hawajapiga wapige... Tumeuanza mwaka vizuri tusiachie hata kidogo kupoteza nafasi hizi...
 
asante kwa taarifa ngoja nipge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…