Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Yeah, niliyasikia. ila nlisikia ule wimbo ulivujishwa na producer wake, so ulivujishwa nusu, ila origin version ilitakiwa kuwa na maneno hayo...

Ngoja wajuzi waje
 
Last edited by a moderator:

mkuu naanza sasa...........................kura nshapiga
 
Jamani team wassafi hii kitu ndo nimeisikia Leo...Jamani Diamond tumuache tuuu...

Mapenzi By Diamond Ft Tanzanite.(Lukata50): http://youtu.be/4pEI4G-IJ0o

kama upendo ungekuwa ni bidhaa .. ungeuzwa thamanii.. wakina sisi si tungekosa raha angependwa naniii.. ona naumia nafsi yangu yaupendo napenda kupendwa lakini pesa sinaa.. tena ni hodari wakuchagua warembo kupenda vizuri vibaya kwangu kinyaaaaa...
 
umenchekesha kweli ulivyosema katoto mwenyewe yupo darasa la kumi yaan nmecheka kweli
 
Last edited by a moderator:
Kim nana ingia u tube uicheki mapenzi basi ya diamond mi sijui kuweka link mwenzio, nyimbo nzuri sana ukiisikiliza kwa hisia unadondosha chozi

Yani huo wimbo unanikosha sana...nimeudownload kitaaambo, silali bila kuusikiliza

Haya mapenzi bwana, hayana maana yalinifany me nichekwe,sababu yake nikapigana, nikatukanwa ila ndo kanipiga tekee.. duh
 
Last edited by a moderator:
Kim nana ingia u tube uicheki mapenzi basi ya diamond mi sijui kuweka link mwenzio, nyimbo nzuri sana ukiisikiliza kwa hisia unadondosha chozi

nyimbo kaiimba kwa hisia sana hii.haya mapenz bwana hayana mana yashanifanya me nchekwe sababu yake nshagombana nkatukanwa lakini kanipiga teke
 
Last edited by a moderator:
kama upendo ungekuwa ni bidhaa .. ungeuzwa thamanii.. wakina sisi si tungekosa raha angependwa naniii.. ona naumia nafsi yangu yaupendo napenda kupendwa lakini pesa sinaa.. tena ni hodari wakuchagua warembo kupenda vizuri vibaya kwangu kinyaaaaa...

Kaimba humo ndani...halafu umeusikiliza huo kizai zai Yuko na Hussein machozi...aisee huku mwanzo unaliza, halafu mwisho mwisho unachezekajeee....
 
nyimbo kaiimba kwa hisia sana hii.haya mapenz bwana hayana mana yashanifanya me nchekwe sababu yake nshagombana nkatukanwa lakini kanipiga teke

Mie mwenzenu tena basii ... ooh mapenzi sitakiii.. ooh mwenzenu tena basiii basiiii sitakiiii... mmh yalinifanya nikaugua mara napanga nnapanguaa, mwili ukakonda nikapungua ay sikulalaaa...
 
Kaimba humo ndani...halafu umeusikiliza huo kizai zai Yuko na Hussein machozi...aisee huku mwanzo unaliza, halafu mwisho mwisho unachezekajeee....

Nimeusikiliza aisee chibu anajuwa kunikamata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…