diamond nyie hapana yaan nyimbo zake zinakwenda moja kwa moja kwenye moyo
Jana nilipoona kimya nikajua ndo kimeshakufa kabisa... kwema lakini?diamond nyie hapana yaan nyimbo zake zinakwenda moja kwa moja kwenye moyo
Jana nilipoona kimya nikajua ndo kimeshakufa kabisa... kwema lakini?
I see! bac poa, na cku nikija kunani na kama itakuwa bado bac nitakutafuta...hii n nyngne but pia ipo ICU ila ni upepo tu baada ya muda mambo yatakuwa sawa
I see! bac poa, na cku nikija kunani na kama itakuwa bado bac nitakutafuta...
Unanisababishia maradhi ya vipindi my angel... manake hueleweki eleweki hata robo!mmmmh jamani kipenziiii
Nipo jiji la Panya Road wangu... afadhali Chibu kaamua kuwa Paka Road, labda atawafurumusha hawa mahasidikaribu sana pande zetu.vp ww upo pande zipi?
Nipo jiji la Panya Road wangu... afadhali Chibu kaamua kuwa Paka Road, labda atawafurumusha hawa mahasidi
Mmh jamani ni nyimbo tu naipenda sijamaanisha
Jamani usiumwe kipenziiiUnanisababishia maradhi ya vipindi my angel... manake hueleweki eleweki hata robo!
Nipo jiji la Panya Road wangu... afadhali Chibu kaamua kuwa Paka Road, labda atawafurumusha hawa mahasidi
nice 9t all diamond fans
Nipo jiji la Panya Road wangu... afadhali Chibu kaamua kuwa Paka Road, labda atawafurumusha hawa mahasidi
Ukijua kutakia watu ucku mwema, ujue vilevike kuwauliza wameamkaje, we mtoto vipi!!! Haya, upo poa wewe?nice 9t all diamond fans
President ni Zee la Mafursa... Panya Road wamekuwa arrested na yeye sasa ameghairi kuwa Paka Road na amerejea kuwa Dangote; the African President in terms of MAVUMBA!Hahaha president hakuacha tukio kupita bila advantage kwake...