Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Sijawahi kusikia nyimbo mbaya ya diamond... iko poa
ni nzuri tu mno, tatizo mi napata shida kuisikiliza..hapa nnapoishi hua nazipinga sana hizi nyimbo halaf wakisikia nasikiliza ntaonekana sina msimamo...nimei play kama mara 20 ila kiheadphone headphone tu
 
Kama itakuwa ni mduara atakuwa amenikamata coz', napenda ngoma zenye vionjo vya asili...
 
ni nzuri tu mno, tatizo mi napata shida kuisikiliza..hapa nnapoishi hua nazipinga sana hizi nyimbo halaf wakisikia nasikiliza ntaonekana sina msimamo...nimei play kama mara 20 ila kiheadphone headphone tu

hahahaaaa ndo uanze kuzipenda basiii, unazugia kuwaambia diamond kanifanya nizipende hizi nyimbo hahaaaa
 
Mkuu BestOfMyKind,
Unaweza kuicheki vizuri hiyo link manake hai-display! Au kama vipi, nitajie jina la wimbo nii-search!
 
Last edited by a moderator:
Apo unajua alikuwa anamwambiaje #diamondi

dogo unajua staili zako za kuja kuchukua tuzo mpaka nyumbani kwetu unapeleka kwenu unatuacha wakavu wakati sisi tumeanza kitambo mpaka rikilosi anatujua alafu wew unajitia mjuaji mimi simaindi bro kasema anakutamani kishenzi dogo wew
na olewako uludie tena ntakata masikio haya tuone zali kama atakupenda tena shaaaaabashhhhh
Kidingi umetisha sanaaaaaaaaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom