Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

poa poa, pole kwa kukuchelewesha nlitoa link ya server nliodownloadia kumbe it doesn't work that way...link ni hii

https://www.hulkshare.com/bongoswaggz/diamond-platnumz-nasema-nawee
We bwana weee... ushaniambia kuna nyimbo mpya ya Diamond unadhani ningekaa nisubirie link tena? Thubutu... nilishaisaka mwenyewe zamani coz' link ambayo uliitoa ingawaje ilikuwa haifunguki, lakini ukiisoma kwenye address bar ilikuwa ina-display jina la wimbo kwahiyo hapo hapo nikaiibukia Google! Thanks anyway... c.c Eshy m.s
 
Last edited by a moderator:
Daaaah hiiii ngoma isingevuja plz tukaitoa pamoja na video.....what a song!!! Chibu wauweeeeeee
 
Uuuuh wimbo mzuri...halafu kama dongo vileee...

Ladha ya muziki inaendana na maneno.. pia kizuri ni kwamba diamond anafanya muziki kama kitu anachokipenda yeye kama yeye si ajabu kusikia anatoa taarabu... nampa credit sana kwa hili ndio maana hata alitoa ntampata wapi kwa mapenzi tu ya muziki ladha ya kihindi wakati haikuwa kwenye list na kizuri zaidi imebaamba kinoma...... 🙌🙌🙌
 
We bwana weee... ushaniambia kuna nyimbo mpya ya Diamond unadhani ningekaa nisubirie link tena? Thubutu... nilishaisaka mwenyewe zamani coz' link ambayo uliitoa ingawaje ilikuwa haifunguki, lakini ukiisoma kwenye address bar ilikuwa ina-display jina la wimbo kwahiyo hapo hapo nikaiibukia Google! Thanks anyway... c.c Eshy m.s
pamoja
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kidingi kila nikiquote inakataaa....ndo basis tena ntakwambia siku nyingine
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaa na leo tena nyama mmmh tunawaunguza pua jamaniiiiii
"Na leo tena nyama, ahaaaa, hizi sasa sifa... tunaumizana pua jamani!" Ama kweli majirani wa Bwana Mcharo wanakosa kufa tu lakini cha moto wanakiona....
 
Kutwa kiguuru njian majiran wote wamekuchoka mara chumba ch fulan mtugan kwako usokaa washnda vibarazan yawenzako kuropoka ukome mwana fulan öna uso ulivokukoboka si mrushwa vibaon had kwnye vigodoro uso na haya uson kote wazua migogoro iv we aujion kuwa unakasoro nasema nawe *2
Hehheheeiyaaaaa nakupenda chibu huwa hukosei wallah .....
Dingo lako fulan Kama so lako lajirani yako
 
Duuuh ushamezaaa tisha sanaa
 
Back
Top Bottom