Zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukakaa
USO mila desturi, usojua kutongozwa ukakataa
USO hiyana fedhuli, uongo umekujaa
kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaaa...
Jamani maneno kayatupaaa...
Nakwambia mi hadi usingizi umekata hapa kwa haya marahaHeee...mwenyewe nipo na earphones kwa bed....nimeurudia kama Mara tatu hivi...
Zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukakaa
USO mila desturi, usojua kutongozwa ukakataa
USO hiyana fedhuli, uongo umekujaa
kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaaa...
Jamani maneno kayatupaaa...
Heee...mwenyewe nipo na earphones kwa bed....nimeurudia kama Mara tatu hivi...
Wadau mm nilikua nna hoja binafsi nataka kuleta mbele yenu muijadili kwa approval kama itapata Baraka zenu.
Cc: chige Chinga One Kim nana data
how valid is this photo wadau??View attachment 218479
cc kimugina , Kidingi , chige , Kim nana , Chinga One , Eshy m.s
Wadau mm nilikua nna hoja binafsi nataka kuleta mbele yenu muijadili kwa approval kama itapata Baraka zenu.
Cc: chige Chinga One Kim nana data
Thank you for this useful posted link! Wakati wengine walikuwa wanahangaika kupiga kura Radio One, nadhani wale wanaojitambua wangependa kuchukua fursa hii kupiga kura huku... Kauli Mbiu: "Mimi Nimepiga Na Nitaendelea Kupiga, Wewe Je?"
C.c Chinga One, Eshy m.s, Kim nana, zai katoto, ma2mbo, Heaven on Earth, chukuachako, Innocizy, BestOfMyKind, Paula kilaki, we miss you here, data, el nino, IFRS, matenene, Mkuu Opera Min, where ru dude? Murano,
Aisee sijui kaitoa wapi hii mineno mikali hivi
Nimeikuta habari na hoja mchanganyiko
Alafu tutlipwA au hahaha maanake mjini Kila kiu hela hkuna shamba mjini hapa tu panatosha kumpa support maanake mb zinaisha haha
Sasa hivi diamond platnumz anajiita Monde bin Laden amin amin nawaambieni mziki wa uyu kijana utaishia tandale kama anataka kuvula level za kimataifa atafute majina yenye staha sio yanayopromote magaidi. Over
Mi naona ni wazo zuri Innocizy labda niongezee kuwa ili tusionekane kama tunatafuta mbinu za kuingia kwenye show zake bure i think the idea iwe tunalipa kiingilio kama wengine then we get special chance to share our ideas with him backstage + takes some photoz with him.
Wadau huu msala wa DIAMOND na ZARI.,!!!
MNAUONAJE! KWA VIPI?? GHAFLA NAMNA HII..!!