Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukakaa
USO mila desturi, usojua kutongozwa ukakataa
USO hiyana fedhuli, uongo umekujaa
kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaaa...

Jamani maneno kayatupaaa...

Aisee sijui kaitoa wapi hii mineno mikali hivi
 
Zingifuri zingifuri, ungezinga mahala ukakaa
USO mila desturi, usojua kutongozwa ukakataa
USO hiyana fedhuli, uongo umekujaa
kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaaa...

Jamani maneno kayatupaaa...

Vina kati na mwisho,maana halisi ya ushairi.
 
Thank you for this useful posted link! Wakati wengine walikuwa wanahangaika kupiga kura Radio One, nadhani wale wanaojitambua wangependa kuchukua fursa hii kupiga kura huku... Kauli Mbiu: "Mimi Nimepiga Na Nitaendelea Kupiga, Wewe Je?"

C.c Chinga One, Eshy m.s, Kim nana, zai katoto, ma2mbo, Heaven on Earth, chukuachako, Innocizy, BestOfMyKind, Paula kilaki, we miss you here, data, el nino, IFRS, matenene, Mkuu Opera Min, where ru dude? Murano,

Vote kama kawaidaaaaaaaaaaa............
 
DSC08299.jpg
Nimeikuta habari na hoja mchanganyiko
 
Umuofia kwenuu!!

Jana nilitoa hints juu ya hoja yangu,nayoo ni hiii..
Humu jf kama tulivoanzisha Uzi huuu,bhasi kwa watakao kuwa tayari pia mkuu chinga one na chige wanaweza kutuunganisha tukawa kama kama a supportive group ya chibu ambayo inakua inashiriki kwenye shows muhimu zq dai for example ile ya diamonds are forever.....tunajiorodhesha na our jf IDs(ili kuendelea kulinda our privacy ya jf) so mfano dai ana show mwanza then wale walio mwanza na wengine wataoweza hudhuria hio show wanapewa treatment zote kama supportive and die hard fans wa dai....hiii ni pamoja na kupata wasaa wa mazungumzo kidogo backstage ili kumshauri hapa na pale..

Hili linawezekana vipi???
Dai ana WCB ambayo ni kampuni yake.so sisi tunaomba kuwa kama kuwa tawi la wcb jamii forums kama ambavyo kuna wcb mpaka Rwanda na Burundi. Hili linawezekana kwa kuaandaa a certain electronic letter ambayo tunaweza ituma kwa managers wake kama tale au fella au salaam ambao naona kwa kuwa ni wengi its easy to get one of them ili kumueleza hio kitu.
Malengo inakuwa ni kumpa sapoti msanii wetu ktk shows zake na ktk kazi zake.pia kumpa ushauri ili aendelee kukua zaidi hata zaidi.pia iwe ni fursa kwa wadau na mashabiki kupata nafasi ya kuweza kupata mawili matatu toka kwake....na mambo mengine yataendelea zaidi na zaidi kadri itavyoonekana inafaa.
Asanteni.



Nisameheni kwa gazeti jamani kujieleza kazi sana???
 
Alafu tutlipwA au hahaha maanake mjini Kila kiu hela hkuna shamba mjini hapa tu panatosha kumpa support maanake mb zinaisha haha
 
Alafu tutlipwA au hahaha maanake mjini Kila kiu hela hkuna shamba mjini hapa tu panatosha kumpa support maanake mb zinaisha haha

Hio itategemea how fast you are to create opportunities out of that wcb jf thing
 
Mi naona ni wazo zuri Innocizy labda niongezee kuwa ili tusionekane kama tunatafuta mbinu za kuingia kwenye show zake bure i think the idea iwe tunalipa kiingilio kama wengine then we get special chance to share our ideas with him backstage + takes some photoz with him.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi diamond platnumz anajiita Monde bin Laden amin amin nawaambieni mziki wa uyu kijana utaishia tandale kama anataka kuvula level za kimataifa atafute majina yenye staha sio yanayopromote magaidi. Over

Huo Ndio Wimbo Wako Kila Siku,siasa Imekushinda Sasa Una Hamia Kwa Chibu Utamuweza?
 
Wadau huu msala wa DIAMOND na ZARI.,!!!

MNAUONAJE! KWA VIPI?? GHAFLA NAMNA HII..!!
 
Mi naona ni wazo zuri Innocizy labda niongezee kuwa ili tusionekane kama tunatafuta mbinu za kuingia kwenye show zake bure i think the idea iwe tunalipa kiingilio kama wengine then we get special chance to share our ideas with him backstage + takes some photoz with him.

Kiingilio lazima kulipa hatuingii bure
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom