omari londo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 1,793
- 1,774
Dangote ndo nn??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 228625When you poke it at just know, man
The iceberg is a reflection of you when you re-new your vision
Just think if it had sunk Titanic, the https://jamii.app/JFUserGuide it would do to a critic, my nigga?
Yeah, yeah, tell me, when thugs cry do you hear 'em, Lord?
Do you hear 'em, Lord? Do you hear 'em?
And if my ship go down tell me who will abort?
And they won't let me live even when remorse that I give
When it gon' rejoice and forgive, tell me how I stay positive
When they never see good in me
Even though I got hood in me
Don't mean he won't redeem me, Lord
- Kendric Lamar in Autumn Leaves { We all have our models From Diamond's IG }
hivi diamond anawalipa/lipia hawa wote anaoongozana nao?? dogo inaonesha ana mkwanja mrefu sana kuweza kubeba hii timu kila aendako...hebu mnaomfahamu mtufahamisha maanake baada ya miaka michache watu wasianze kukumbuka hii timu anayotembea nayo kama chanzo cha kuanguka!!!
nb: nime copy na paste kutoka sehemu nikai summerize.
Dah! Kweli aise... itakuwa mnafiki nikisema nipo busy sana ndio maana sionekani kwenye huu uzi! Hata hivyo, lisilo shaka ni kwamba bado naendelea kumwakilisha na kumsemea Chibu kwenye nyuzi zingine zote zinazomuhusu na nilivyo na tabia mbaya, hata katika majukwaa yasiyohusika, nikiona mtu anafura kwa mihasira usishangae ukakuta namuwekea>>>
Dah! Kweli aise... itakuwa mnafiki nikisema nipo busy sana ndio maana sionekani kwenye huu uzi! Hata hivyo, lisilo shaka ni kwamba bado naendelea kumwakilisha na kumsemea Chibu kwenye nyuzi zingine zote zinazomuhusu na nilivyo na tabia mbaya, hata katika majukwaa yasiyohusika, nikiona mtu anafura kwa mihasira usishangae ukakuta namuwekea>>>
Kim nana, where are you my dear! Hebu pita huku mara moja useme chochote!
Karibu tena mwana mpotevu mwenzangu... angalau mara tatu kwa wiki sio mbaya kuja kutia sunna!Abee, nimeitika uwito...Nina la kusema basiii....tunasubiri tuchokozwe tuibuke...
Karibu tena mwana mpotevu mwenzangu... angalau mara tatu kwa wiki sio mbaya kuja kutia sunna!
Diamond Featuring P-square-nakupenda Na Hapo Hapo Katoa Remix Diamond Featuring I Yanya-nakupenda Sana. Teamwasafi Baby. No One Like Platnumz in TANZANIA.