Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Mkuu kumbe unaielewa hii ngoma? dah pini langu ili nikiwa njiani ni mwendo wa replay nikkiwa home pia sana tu...Kendrick anajua sana sana yani.

Dogo kuna wazee wanamrushia mikuki ila harudishi ubaya, ni kama anawaelewa wanapitia yepi kwa sasa .
 
hivi diamond anawalipa/lipia hawa wote anaoongozana nao?? dogo inaonesha ana mkwanja mrefu sana kuweza kubeba hii timu kila aendako...hebu mnaomfahamu mtufahamisha maanake baada ya miaka michache watu wasianze kukumbuka hii timu anayotembea nayo kama chanzo cha kuanguka!!!





nb: nime copy na paste kutoka sehemu nikai summerize.
 

Diamond sasa hivi ni brand anauwezo wa kuwalipa hao dakika moja tu kama angepata meneja mjasiriamli.

Siku diamond akipata wanaojua kutafuta hela badala ya kuzunguka fiesta au sijui kusubiri kuitwa kuimba kwa millioni kumi au ishirini ni kama kupoteza muda tu.

Naamini diamond anaweza fanya tour ya mikoa yote tanzania kwa kiingilio cha 20,000 na asikose chini ya washabiki 5000 at every arena that sum equates to 100,000,000 per show.

That is if kama tour itatangazwa mapema na kufanyiwa promotion sahihi ata kama at every show akisema alipe supporting acts 10,000,000 wakiwa watano kila mtu 2,000,000 na promoter achuchukue 20,000,000 per show. At the end of the tour anakusanya mabilioni, tatizo lenyewe watu hawana maarifa awajiulizi kusaga anaweza walipa vipi au anakusanya sh/ngapi at every fiesta.

Diamond alitakiwa kuwa mmoja ya vijana matajiri bongo na wealth of about $20mils+, by now.
 
mmepoa sana watu wa humu chige ndo haonekani kabisa these days, Kim nana what is hapenin? yo missed huku, where are you? we miss you guys, mrudi karibuni/soon
 
mmepoa sana watu wa humu chige ndo haonekani kabisa these days, Kim nana what is hapenin? yo missed huku, where are you? we miss you guys, mrudi karibuni/soon
Dah! Kweli aise... itakuwa mnafiki nikisema nipo busy sana ndio maana sionekani kwenye huu uzi! Hata hivyo, lisilo shaka ni kwamba bado naendelea kumwakilisha na kumsemea Chibu kwenye nyuzi zingine zote zinazomuhusu na nilivyo na tabia mbaya, hata katika majukwaa yasiyohusika, nikiona mtu anafura kwa mihasira usishangae ukakuta namuwekea>>>


Kim nana, where are you my dear! Hebu pita huku mara moja useme chochote!
 
Last edited by a moderator:

Abee, nimeitika uwito...Nina la kusema basiii....tunasubiri tuchokozwe tuibuke...
 
Last edited by a moderator:
mmepoa sana watu wa humu chige ndo haonekani kabisa these days, Kim nana what is hapenin? yo missed huku, where are you? we miss you guys, mrudi karibuni/soon

Nipo best akee, siku hizi kumepoaa...sie wengine tuna makole ya Shari, tukiona mdundiko ndo tunatoka ndani na vibwebwee...
 
Diamond Featuring P-square-nakupenda Na Hapo Hapo Katoa Remix Diamond Featuring I Yanya-nakupenda Sana. Teamwasafi Baby. No One Like Platnumz in TANZANIA.
 
Diamond Featuring P-square-nakupenda Na Hapo Hapo Katoa Remix Diamond Featuring I Yanya-nakupenda Sana. Teamwasafi Baby. No One Like Platnumz in TANZANIA.

Hapana bhana,wimbo wa diamond ft p square bado hujatoka. Huo ni Wimbo wa Iyanya ft Diamond unaitwa Nakupenda/Ilove you. so kuen na subira team wasafi ngoma ft P sQuare iko jikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…