Chekecha cheketua, au nikugeuze princess sema nini unataka?
Chekecha cheketua, au nikugeuze princess sema nini unataka?
Huvi kaiba biti ya hii nyimbo http://youtu.be/iIl7QgpMtKQ
where were you? we miss you asee, so badlynice, I like this song
I second thatmi nawashangaa mnabishana na wale watu wakati ukweli mnaujua......wapigieni kimya tu na huyo mtu wao kwa ngoma anazo toa asahau kuvuka boda!
najisikilizia wimbo wa Wizkid - Ojuelgba huku naperuzi JF, sasa katokea anko wangu ( sayna, 4 yrs) kaona hii picha, kaniambia niitoe ya wizkid niiweke hii picha. Nimemwekea video ya ntapata wapi and ameanza kucheza ( she is one of those kids ambao hawapati muda wa ku-interact na watu mara kwa mara kwahiyo imenishangaza yeye kutaka hii picha niicheze). Na sasa imekua ugomvi hataki tuutoe huu wimbo
mi nawashangaa mnabishana na wale watu wakati ukweli mnaujua......wapigieni kimya tu na huyo mtu wao kwa ngoma anazo toa asahau kuvuka boda!
Kwanza ni kumdhalilisha Chibu... how can you compare local and international artists!! Binafsi nilianza kuwapuuza pale walipoanza kuwekeana ma-photoshop na wenyewe bila kuchunguza wakaanza kupiga vigelele! Sie wengine tukawa tunawaangalia tu kv hatukutaka kuwatibulia party yao hadi BBC wenyewe walipoamua kufunga mjadala na kukanusha!!mi nawashangaa mnabishana na wale watu wakati ukweli mnaujua......wapigieni kimya tu na huyo mtu wao kwa ngoma anazo toa asahau kuvuka boda!
Hapana... si kwamba ni wabishi in short jamaa wanakuwa desperate kwa muda mrefu kwahiyo kinapotokea chochote lazima waripuke kwa shangwe kama ambavyo waliripuka kufurahia collabo na Chris Brown wakati mwenye akili zake alijua kabisa kwamba habari yenyewe ilikuwa ni upuuzi mtupu... watu wanaweka photoshop badala ya kuweka link halafu bado watu mnatamba na kujimaliza kwa kila mbwembwe!!!Jamaa ni wabishi wale,, tuachane nao.
where were you? we miss you asee, so badly
View attachment 230592 and another one
mi nawashangaa mnabishana na wale watu wakati ukweli mnaujua......wapigieni kimya tu na huyo mtu wao kwa ngoma anazo toa asahau kuvuka boda!
View attachment 230592 and another one
View attachment 230592 and another one
Sifa ni kuwalambisha ndimu wakiona trace waone kama sumu
Hapana... si kwamba ni wabishi in short jamaa wanakuwa desperate kwa muda mrefu kwahiyo kinapotokea chochote lazima waripuke kwa shangwe kama ambavyo waliripuka kufurahia collabo na Chris Brown wakati mwenye akili zake alijua kabisa kwamba habari yenyewe ilikuwa ni upuuzi mtupu... watu wanaweka photoshop badala ya kuweka link halafu bado watu mnatamba na kujimaliza kwa kila mbwembwe!!!