Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

BestOfMyKind:thankx my friend......but kuwa sahihi Bongo flavour sio genre ya muziki bali ni aina ya muziki unaopatikana Tz unacontain genres tofauti tofauti..........kama raggae ragga......hiphop na rap......dance rumba.......zouk rumba.......etc. But na kwa upande mwingine swahiba......me nadhani kuimba style tofauti ni nzuri in tha short-run but in the long-run inakuwa kama inazingua fulani linapokuja swala la identity.........maana hata wasanii hata wasanii wa kisasa huko mbele inawakuta hiyo inshu........umaarufu wa muda mfupi kisha kupotea........but ambaye anakaza style moja anakuwa fresh kufanya Muziki-biashara........give me your comment hommy.
 
Last edited by a moderator:
binti kiziwi: We are not doing any stupid discussion that deserve a stupid answer we are simply discussing music industry issues here so don't be mean to me plus there is no need to start qurrers were its not necessary ........am a gud boy.......i take my things very cautiously........if feel what am sayin..........Much love to ya.
 
Last edited by a moderator:

Anaimba afro pop.
 

Its true bongo flavour sio genre...mfano fid q ni mwanabongo fuleva anaefanya hip hop.


Back kwa hoja yako ya kulast short when doing multiple genres nadhani sio kweli....
Msaniii usipoweza kubadilika kwenda na mahitaji ya mashabiki kwa wakati husika ukang'ang'ana na genre yako ujue unajichinbia kaburi.
Wengi wa wanaoendelea kutamba ni wale ambao kuna time wanachanganya different genres ili kuleta "ladha" tofauti na pia kupata mashabiki wapya wa hio genre mpya ambao hawakumpenda ktk genre yake original...


Ntaendelea baadae.
 
Last edited by a moderator:
Innocizy:well said my friend........but i think kuna contradiction hapo mahala........so nangoja umalizie then nicomment kujazia jazia........
 
Last edited by a moderator:
 
Na hii ndiyo iliwafanya watu kama Boyz II Men wapotee pamoja na uhodari wao!! Sie wa Long Time Kitambo, bado tunashangazwa na kupotea kwa Shaba Ranks wakati alipotea wakati akiwa kwenye peak lakini kwa kuwa Raga Maffin ilikufa kama kuzimika kwa kibatari, na yeye akafa nayo... wajanja waka-switch to dance-hall! Mtu kama Mr. Blue bado yupo tu kutokana na uwezo wake wa kubadilika badilika kama kinyonga, same to Dully! Mr. Nice na ana ana anado zake za kila siku, watu wakaona anawazingua, akachomokea mlango wake ule ule ambao aliingilia! So, you're very right kwamba, msanii anayeweza kudumu kwenye game ni yule mwenye uwezo wa kuleta flavors tofauti tofauti! Leo hii hata Afro-Pop ikikosa ladha na rap & hip hop kushika hatamu, Diamond huko ndiko alitokea!!
 
 
Last edited by a moderator:
 
 
Kwa wale wenye access, don't forget, your boy Diamond Platnumz anawakumbusha kwa hii message:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…