Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

BestOfMyKind:thankx my friend......but kuwa sahihi Bongo flavour sio genre ya muziki bali ni aina ya muziki unaopatikana Tz unacontain genres tofauti tofauti..........kama raggae ragga......hiphop na rap......dance rumba.......zouk rumba.......etc. But na kwa upande mwingine swahiba......me nadhani kuimba style tofauti ni nzuri in tha short-run but in the long-run inakuwa kama inazingua fulani linapokuja swala la identity.........maana hata wasanii hata wasanii wa kisasa huko mbele inawakuta hiyo inshu........umaarufu wa muda mfupi kisha kupotea........but ambaye anakaza style moja anakuwa fresh kufanya Muziki-biashara........give me your comment hommy.
 
Last edited by a moderator:
binti kiziwi: We are not doing any stupid discussion that deserve a stupid answer we are simply discussing music industry issues here so don't be mean to me plus there is no need to start qurrers were its not necessary ........am a gud boy.......i take my things very cautiously........if feel what am sayin..........Much love to ya.
 
Last edited by a moderator:
Wajameni ........sorry.......nauliza swali la kitaalamu............Hivi diamond anaimba mapigo gani.........yaani miondoko ipi?!Maana wadau mnachoonekana kukijua ni kwamba diamond anamba vizuri........but what kind of style au niseme ni genre gani anayoi'icon kwenye tasnia ya mziki hapa bongo...........! Mwenye ufahamu huo please step forward kunijuza please.........!

Anaimba afro pop.
 
BestOfMyKind:thankx my friend......but kuwa sahihi Bongo flavour sio genre ya muziki bali ni aina ya muziki unaopatikana Tz unacontain genres tofauti tofauti..........kama raggae ragga......hiphop na rap......dance rumba.......zouk rumba.......etc. But na kwa upande mwingine swahiba......me nadhani kuimba style tofauti ni nzuri in tha short-run but in the long-run inakuwa kama inazingua fulani linapokuja swala la identity.........maana hata wasanii hata wasanii wa kisasa huko mbele inawakuta hiyo inshu........umaarufu wa muda mfupi kisha kupotea........but ambaye anakaza style moja anakuwa fresh kufanya Muziki-biashara........give me your comment hommy.

Its true bongo flavour sio genre...mfano fid q ni mwanabongo fuleva anaefanya hip hop.

Back kwa hoja yako ya kulast short when doing multiple genres nadhani sio kweli....
Msaniii usipoweza kubadilika kwenda na mahitaji ya mashabiki kwa wakati husika ukang'ang'ana na genre yako ujue unajichinbia kaburi.
Wengi wa wanaoendelea kutamba ni wale ambao kuna time wanachanganya different genres ili kuleta "ladha" tofauti na pia kupata mashabiki wapya wa hio genre mpya ambao hawakumpenda ktk genre yake original...

Ntaendelea baadae.
 
Last edited by a moderator:
Innocizy:well said my friend........but i think kuna contradiction hapo mahala........so nangoja umalizie then nicomment kujazia jazia........
 
Last edited by a moderator:
Ila to be more specific kama utakataa kua bongo flavor sio genre, basi jamaa ni mwana afropop mzuri tu ukisikiliza ngoma zake almost zote.

BestOfMyKind:thankx my friend......but kuwa sahihi Bongo flavour sio genre ya muziki bali ni aina ya muziki unaopatikana Tz unacontain genres tofauti tofauti..........kama raggae ragga......hiphop na rap......dance rumba.......zouk rumba.......etc. But na kwa upande mwingine swahiba......me nadhani kuimba style tofauti ni nzuri in tha short-run but in the long-run inakuwa kama inazingua fulani linapokuja swala la identity.........maana hata wasanii hata wasanii wa kisasa huko mbele inawakuta hiyo inshu........umaarufu wa muda mfupi kisha kupotea........but ambaye anakaza style moja anakuwa fresh kufanya Muziki-biashara........give me your comment hommy.
nakubaliana nawewe kua on the long run identity ni muhim sana ndomana watu kama kina Usher, eminem, Rkelly, Don williams, Celine Dion wameweza kukaa na kutambulika kwene gem muda mrefu
 
Its true bongo flavour sio genre...mfano fid q ni mwanabongo fuleva anaefanya hip hop.

Back kwa hoja yako ya kulast short when doing multiple genres nadhani sio kweli....
Msaniii usipoweza kubadilika kwenda na mahitaji ya mashabiki kwa wakati husika ukang'ang'ana na genre yako ujue unajichinbia kaburi.
Wengi wa wanaoendelea kutamba ni wale ambao kuna time wanachanganya different genres ili kuleta "ladha" tofauti na pia kupata mashabiki wapya wa hio genre mpya ambao hawakumpenda ktk genre yake original...

Ntaendelea baadae.
Na hii ndiyo iliwafanya watu kama Boyz II Men wapotee pamoja na uhodari wao!! Sie wa Long Time Kitambo, bado tunashangazwa na kupotea kwa Shaba Ranks wakati alipotea wakati akiwa kwenye peak lakini kwa kuwa Raga Maffin ilikufa kama kuzimika kwa kibatari, na yeye akafa nayo... wajanja waka-switch to dance-hall! Mtu kama Mr. Blue bado yupo tu kutokana na uwezo wake wa kubadilika badilika kama kinyonga, same to Dully! Mr. Nice na ana ana anado zake za kila siku, watu wakaona anawazingua, akachomokea mlango wake ule ule ambao aliingilia! So, you're very right kwamba, msanii anayeweza kudumu kwenye game ni yule mwenye uwezo wa kuleta flavors tofauti tofauti! Leo hii hata Afro-Pop ikikosa ladha na rap & hip hop kushika hatamu, Diamond huko ndiko alitokea!!
 
Ila to be more specific kama utakataa kua bongo flavor sio genre, basi jamaa ni mwana afropop mzuri tu ukisikiliza ngoma zake almost zote.

nakubaliana nawewe kua on the long run identity ni muhim sana ndomana watu kama kina Usher, eminem, Rkelly, Don williams, Celine Dion wameweza kukaa na kutambulika kwene gem muda mrefu

Nadhani mnachanganya msanii Ku last long ktk game na "nyimbo za msanii kulast long"
Hivyo ni vitu tofauti sana.
Kuna msaniii kutengeneza identity yake pale anapoanza game au katikati hata anapofikia peak yake....kitachobaki kinaishi ni nyimbo zake ambazo zitakuwa ni legacy.

Na kuna mwanamuziki kutengeneza identity yake na kisha kuendelea kugusa mioyo ya watu wengine pia kwa kuimba genre zao...sasa Hawa ndio wao kama wanamziki wana last long. Uwezo wa kubadilika unadetermine Kipaji na ubunifu wa msanii husika..
Kina nas hawakutaka badilika Leo ni historia lakini kina jay z wanapeta maana wanabadilika.
Sio daily hip hop ngumu ambayo hata club kupigwa inakua shida.

Mdau chige katoa mfano wa blue na dully kwa hapa bongo...wanaendelea mpaka kesho kwasababu wanabadilika..lakini waliong'ang'ana na genre zao kwamba mm ni RnB tuu wengi wamepotea au wamebaki vile vile.
 
You're very right... kuna tofauti kati ya msanii kubaki kwenye game kwa muda mrefu na kazi za msanii kubaki muda mrefu kwa sababu kazi zake zilikuwa tight! Nikiisikiliza Liberian Girl ya Michael Jackson, hadi leo nasisimka utafikiri ndo umetoka jana wakati ukweli ni kwamba, Michael alishapotea kwenye game hata kabla ya kifo chake! The same applies kwa watu kama akina R. Kelly! Sina shaka kwamba, R. Kelly hata leo anaweza kurudi kwenye game na akafanya vizuri lakini kinachomweka kwenye ramani hivi sasa ni legacy yake inayotakana na kazi zake za zamani na sio za sasa! Kwa America, mwanamuziki ambae anaweza kuwa na kiburi na kutamba kwamba amedumu kwa muda mrefu sana, si kutokana na kazi zake za zamani bali hata kwa kazi zake za sasa ni Beyonce Knowles... tangia enzi za Destiny's Child katikati ya miaka ya 90 hadi kuwa solo artist mwaka 2006--- Beyonce hajayumba! Kuna wakali wasiopingika kama kina Rihanna, sawa tu, Nick Minaj, twende tu hivyo hivyo, lakini bado Beyonce atabaki kuwa Beyonce kama ambavyo Diamond atakavyobaki kuwa Diamond... kubaki Top kwa miaka 6 mfululizo kwa soko la Tanzania sio kazi ndogo!!!!
 
couldn't agree more, nimeelewa
 
10417472_1017206858292670_4103737432512629425_n.jpg
Kwa wale wenye access, don't forget, your boy Diamond Platnumz anawakumbusha kwa hii message:
Please don't forget to Watch your @AfricaMagic Channels on Saturday coz your Platnumz Will be Performing live On Africa Magic Viewers Choice Award in Lagos Nigeria... #AMVCA2015 (Tafadhali usikose Kutazama chaneli yoyote ile ya @AfricaMagic kwani kijana wako Platnumz Nitakuwa naperform live Siku ya JumaMosi kwenye Tunzo za Africa Magic Viewers Choice Awards Nchini Lagos / Nigeria #AMVCA2015 )
 
Back
Top Bottom