Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
na akipata mafua sauti haitoki na vile anaimbiaga puani lol ilakuwa kashesheee
Hahahaaa Mfalme wa Jf atakula mayai mabichiiii.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na akipata mafua sauti haitoki na vile anaimbiaga puani lol ilakuwa kashesheee
Kasema anaona raha kupanga jamaniii......
Hahahaaa Mfalme wa Jf atakula mayai mabichiiii.....
Hahahaaa Mfalme wa Jf atakula mayai mabichiiii.....
Ila wamwambie uyo mfalme wao apunguze kubana pua, alaaa ndo nini sasa (in chausiku voice)
Hiyo hela ya mayai anatoa wapi?.kama daladala.kupanda tu shida.

Jamani ndo kipaji chenyewe hicho kubana pua...Sasa kama yule Mfalme sijui Cristian Bella tumuite nani....duh
then vidume hatuna tabia ya kubana pua hahahaha angaliwa dunia imebadilika watafanya yao
Hiyo hela ya mayai anatoa wapi?.kama daladala.kupanda tu shida.
hahaaaa sikuizi anapiga show nachingwea hela za mayai atapata
mmmh huko kubaya sasa ka vipi aache tu kuimba
Jamani show zote hizi? Juzi juzi tu alipata mapokezi first class huko Masasi....
si ndo hapo sasa, cinderela my foot
Jamani show zote hizi? Juzi juzi tu alipata mapokezi first class huko Masasi....
Ila wamwambie uyo mfalme wao apunguze kubana pua, alaaa ndo nini sasa (in chausiku voice)
Ile nyimbo dai aliimba na mpotooo nayo iko vizuri
Hahaaaaaaa sheeeedeeer
na akipata mafua sauti haitoki na vile anaimbiaga puani lol ilakuwa kashesheee
Ndiomaana huwa siwaelewi wanaosemaga ana sauti nzuri.....
Wengi hawajui music.