Nikimuona tu nakumbuka fiesta ya Leaders club October 2014!
Hatari sana.
zingifuri zingifuri ungezinga mahala ukakaa
zingifuri zingifuri ungezinga mahala ukakaa
Kujifanya mashuhuri usojua tongozwa ukakataa
USO hiyana fedhuli uongo umekujaa
Naona Almasi inang'aa
mnh! this's so nice and beautiful... yaani nishaanza kunenepa nenepa flan huku nikiisubiria May 1 ifike haraka!don't worry your the one and only..