Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mwenzako mi ni turufu si Garasha, mwenyo nyota ya umaarufu sio zako za aa..
 
tatizo mi bado nlipoteleza nkakosa sipajui...mpaka kafunga virago na akaamua kuondoka sitambui..........daaaah jamani dayamondi anajuaaaaaaaaaa...hakuna mtu anayeimba anaweza kumshinda kuandika...kidooogo mo music na Baraka da prince wanamfukuzia....hata wanaorap ni wachache sanaaaa wanamshinda.....ila hawa zingifuri wengine hakunaaaaa
 
Back
Top Bottom