Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Ubaya kinacho niumuza manenoneno manenoo mara kwa ndugu rafki kwa nn anawapa miseemo?...
 
Mtoto wa Tandale anayekimbiza watu...

Ukitaka habari zake zaidi si uweke jina lake sechi JF.
 
"Kwa mahaba uliyonipa, nimenogewaa, vurugu patashika ai punguza kidogo..hapohapo uliposhika..." Kweli Diamonds are forever. Mashahiri yake tuu mi hoi.
 
Sababu ya ugumu wa maisha na maumivu ya mapenzii nikaandika kamwambiee!,
Na ndipo hustle zikaisha akabariki mwenyezi watanzania wanizimiee!!,
Sasa hivi kwenye tamasha tu likitajwa jina watu wanashangiliaa!!,
Wengine,furaha inazidi kina hadi kabisa wanaliaaa
 
Mtu katangazwa icon ya taifa huko.....
Ngoja tusikie haters watavyolicheza segere sasa
 
Mtu katangazwa icon ya taifa huko.....
Ngoja tusikie haters watavyolicheza segere sasa

Yaani nakwambia nimekaa bkimya nasubiri hilo jambo lifanyike ndipo nitoe neno maana kama siamini amini vile hii habari naona kama imetungwa!

DIAMONDS ARE FOREVER
 
Yaani nakwambia nimekaa bkimya nasubiri hilo jambo lifanyike ndipo nitoe neno maana kama siamini amini vile hii habari naona kama imetungwa!

DIAMONDS ARE FOREVER

Nadhani ushathibitisha sasa kwamba ni kweli hahajajajajaja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…