Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

tatizo mi bado nlipoteleza nkakosa sipajui...mpaka kafunga virago na akaamua kuondoka sitambui..........daaaah jamani dayamondi anajuaaaaaaaaaa...hakuna mtu anayeimba anaweza kumshinda kuandika...kidooogo mo music na Baraka da prince wanamfukuzia....hata wanaorap ni wachache sanaaaa wanamshinda.....ila hawa zingifuri wengine hakunaaaaa

Ubaya kinacho niumuza manenoneno manenoo mara kwa ndugu rafki kwa nn anawapa miseemo?...
 
Mtoto wa Tandale anayekimbiza watu...

Ukitaka habari zake zaidi si uweke jina lake sechi JF.
 
"Kwa mahaba uliyonipa, nimenogewaa, vurugu patashika ai punguza kidogo..hapohapo uliposhika..." Kweli Diamonds are forever. Mashahiri yake tuu mi hoi.
 
Sababu ya ugumu wa maisha na maumivu ya mapenzii nikaandika kamwambiee!,
Na ndipo hustle zikaisha akabariki mwenyezi watanzania wanizimiee!!,
Sasa hivi kwenye tamasha tu likitajwa jina watu wanashangiliaa!!,
Wengine,furaha inazidi kina hadi kabisa wanaliaaa
 
Mtu katangazwa icon ya taifa huko.....
Ngoja tusikie haters watavyolicheza segere sasa
 
Mtu katangazwa icon ya taifa huko.....
Ngoja tusikie haters watavyolicheza segere sasa

Yaani nakwambia nimekaa bkimya nasubiri hilo jambo lifanyike ndipo nitoe neno maana kama siamini amini vile hii habari naona kama imetungwa!

DIAMONDS ARE FOREVER
 
Yaani nakwambia nimekaa bkimya nasubiri hilo jambo lifanyike ndipo nitoe neno maana kama siamini amini vile hii habari naona kama imetungwa!

DIAMONDS ARE FOREVER

Nadhani ushathibitisha sasa kwamba ni kweli hahajajajajaja...
 
Back
Top Bottom