Wadau tujitahidi kupiga kura kwa wingi.
Wadau tujitahidi kupiga kura kwa wingi.
Nijuze napogaje kura manake m ni fun wa d.
Jinsi ya kumpigia kura Diamond kwenye tuzo za KTMA katika vipengele alivyowekwa andika GA1, FB2, DA3, BB4, AJ3 na AH2 tuma kwenda namba 15415. Kupiga kura kwa watsap tuma hizo code kwenda namba 0686528813. Pia online kupitia www.ktma.com diamondplatnumz
Wadau tujitahidi kupiga kura kwa wingi.
Diamond hana uwezo
wako wewe uko wapi mbona hatuuoni????
Wewe wako uko wapi
Uwezo wa kufanya nn... Usikute ulikuwa unamaanisha uwezo wa kupaa.. Kama ni hivyo basi Sawa nakubaliana na wewe Dai hana uwezo
Jinsi ya kumpigia kura Diamond kwenye tuzo za
KTMA katika vipengele alivyowekwa andika
GA1,
FB2,
DA3,
BB4,
AJ3 na
AH2
tuma kwenda namba 15415.
Kupiga kura kwa watsap tuma hizo code
kwenda namba 0686528813.
Pia online kupitia
www.ktma.com
diamondplatnumz
Jamani huko watsap hawa kill music award mbona hawarespond au maelekezo yamebadikika??? celew kinachoendelea