Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Nyimbo mpya ya Ney ft Naseeb nimependa sana alivo kuwa anajibu shombo za Ney
 
president ameshawasili mwanza kwaaajili ya show kesho
 

Attachments

  • 1432291366409.jpg
    1432291366409.jpg
    24.9 KB · Views: 161
When people say yes!!! 🌠🌠🌠👑
 

Attachments

  • 1432303419949.jpg
    1432303419949.jpg
    65.6 KB · Views: 186
  • 1432303452769.jpg
    1432303452769.jpg
    52.1 KB · Views: 179
diamond ndio mwanamziki anayependwa kuliko wote tz kwa sasa, huyo mwingine wanamjua wao na team wema, jokate, but as for me he is the best ever happened before.
 
Jamani wadau naomba mnijuze.sipo hapa kiushabikii ila naomba tu kuuliza, hivi ni kwanini Diamond interview zake karibia zote lazma avae miwani tena myeusi hata kama ni usiku hii imekaaje?

Ni fashion au ni ulimbukeni? Kwa sababu hi sasa ni too much yaani hakuna jua miwani myeusi ni kwamba unaogopa kamera au? Kijana mimi naomba ubadilike tumechoka kuiona hiyo miwani kila siku, alafu nihiyo moja hubadilishagi au ni ndagu?
 
Jifunze kuandika vizuri tumechosa ndo nn? Anyway, miwani avae mwingine uchoke wewe...majangaa!
 
Back
Top Bottom