Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Me bado namtazama Wilfrid Bony ambae ni mchezaji wa Manchester city,akiyarudi mauno kwa ngoma ya nasema nawe ya kijana wetu diamondplatnumz
 
Last edited by a moderator:
Bonny Wilfried akiyakata kwa mwimbo uitwao nasema nawe wa Chibu Chibu Chibu

Ingia insta kuangalia kideo kwa Chibu

Ni mchezaji wa Man city, kabla alikua Swansea. Ni m Ivorian.

1433287923010.jpg

1433287934058.jpg

1433287944495.jpg
 
,Natumaini muko poa wana JF wote, mimi leo nataka watu wasiomkubali DIAMOND wazipinge sifa zake kwa hoja nitakazoziorodhesha hapa chini
  • Huyu ndiyo DIAMOND ambaye kwa umri wake wa miaka 26 na akiwa kwenye muziki ile rasmi 2009-2010 takribani miaka 5-6 lakini kashawazidi wasanii wenzake waliopo kwenye muziki zaidi ya miaka 20-10 na wakiwa na miaka zaidi ya 33+kimaendeleo na kimuziki.
  • Huyu ndiyo DIAMOND kwa umri wake huo na muda aliopo kwenye muziki tayari keshanyakua TUZO nyingi za ndani na nje ya inchi.
  • Huyu ndiyo DIAMOND ambaye kwa umri wake huo na muda huo aliopo kwenye muziki keshafanya MATAMASHA MAKUBWA na ambayo kwa wasanii wenzake waliopo kwenye muziki kwa miaka mingi hawajafanya
  • Huyu ndiyo DIAMOND ni msanii pekee TZ na pengine ni E.A au ni AFRICA NZIMA ambaye anayerushiwa mawe tangu anaanza kutoka hadi leo na hajashuka (hapa kumbukeni kuhusu habari za yeye ni FREEMASON,mara yeye ANAWAROGA WENZAKE kakatokea kamsanii fulani eti na kenyewe kamorogwa kama haitoshi wakamleta mganga,kuna zile za baadhi ya visanii kusema vimeibiwa nyimbo,na ile ya ma-producer kuwarekodia bure wasanii wanaotaka kumuimba DIAMOND na hii ya sasa ya huyu UNDERGROUND aliyeomba msaada kwa WEMA lakini pia kapata bahati ya mchongoma kudhaa maembe kwa kupata msaada kwa EX-ZARI)
  • Huyu ndiyo DIAMOND ambaye kama wewe unatumia akili zako unaweza kujiuliza akipata 10-15 kwenye game atakuwa wapi kama leo anapigwa madongo na hata waliomzidi umri kwa ukubwa lakini pia kwenye game
Huyu ndiyo DIAMOND ambaye account zake za mitandao ya kijamii ziko updated kitu kinachowafanya mashabiki na waandishi wa habari kuwa huko muda mwingi kwa sababu ndiye msanii anayeenda kisasa kama wasanii wa mbele
Kwa leo niishie hapo ruhusa kuongezea, kurekebisha na kukosoa kwa hoja lakini ukijisikia kutukana si vibaya unaruhusiwa.
Lengo la uzi huu ni kuwaambia watu wakati wanapojaribu kumringanisha DIAMOND waangalie fact hizo hapo juu
kwa herini.
 
Na hii ya sasa ya huyu UNDERGROUND aliyeomba msaada kwa WEMA lakini pia kapata bahati ya mchongoma kudhaa maembe kwa kupata msaada kwa EX-ZARI)


Bado tu una nightmare ya tuzo za watu? Inaelekea ilikuuma sana...na bado tuzo za kili zinakuja,mbona mtaimba haleluya mwaka huu
 
Okay huyo ni Diamond...

Je na wewe ni nani? (Huna haja ya kujibu swali hili ila liwe changamoto nafsini mwako)

Umejibu vema,sasa hapo vijana tujifunze kwamba mafanikio hayaji kizembe.Kama kaweza na sisi twaweza fanya chochote tutakacho tukiweka nia.
 
Kipengele cha kuimba playback umesahau? akianza kuimba kwa live band uje tena. To me Qchief au TiD ni bora zaidi kuliko huyo sababu ya msingi nimewahi kuwashuhudia wakiimba pamoja na vyombo. Hiyo ndio sifa kamili ya mwanamuziki otherwise hakuna kitu.

Hivi unaanzaje kujiita mwanamuziki wakati hutumii wala hujui kutumia aina yoyote ya chombo cha muziki??? huyo ni recording artist tu sio mwanamuziki. Kwahiyo kila kwenye neno mwanamuziki toa weka msanii.
 
Back
Top Bottom