Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Jamani show zote hizi? Juzi juzi tu alipata mapokezi first class huko Masasi....

kuna jamaa limuliza swali alishindwa kunijibu
swali?
wimbo wa Mwana umeimbwa kwa fasihi je unamaana gani? mpaka unaupenda hakuwa na jibu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…