Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Tusisahau Kuendelea Ku vote for Diamond Platnumz
Na

Vanessa Mdee

On MTV BASE MUSIC AWARDS

Diamond Platnumz yupo ktk category 3

Best Male
Best Collaboration
Best Live

V money yupo
Best female Artist

Let's kip our national flag flying higher

You can vote here

MAMA 2015
 
Nishapiga kura wakuu,

Naweza kurudia kupiga?
 
Nimeshampatia Bwamdogo Chibu kura zake 60 na bi Mdee kura zake 20.

Tungoje tena kesho.
 
Mie jaman mbona hainambiii nimefika mwisho wa kupiga kura...nnahesabu had 20 lakin nikiendeleza bado wanasema thank yuu na waweza share..jana nmepiga had 30 bt cjaambiwa chocho...leo nmepiga had 21 bado hamna lolote...so kuna tatizo kwenye system au nin
 
Hata mimi napiga lkn najibiwa "THANK YOU FOR VOTE" nshapiga ka mara 30 lkn cpewi final limit.. hebu wana team nsaidien hapo njue wapi nakoxea plz!!
 
Hata mimi napiga lkn najibiwa "THANK YOU FOR VOTE" nshapiga ka mara 30 lkn cpewi final limit.. hebu wana team nsaidien hapo njue wapi nakoxea plz!!
Ukishapiga ukaandikiwa hivyo una_cancel na kupiga tena.Ni mpaka mara 20 kwenye category moja kwa siku.Unaweza kupiga kila siku....
 
Hata mimi napiga lkn najibiwa "THANK YOU FOR VOTE" nshapiga ka mara 30 lkn cpewi final limit.. hebu wana team nsaidien hapo njue wapi nakoxea plz!!

me mwenyewe ilikuwa hivo nilikuwa nimetumia email yangu ku sign up nimepiga kura around 50 times kwenye category moja lakini sijazuiliwa kuendelea....

sasahivi nime download browser nyingine tena, afu nime sign in kupitia facebook ya bi mkubwa nimevote vizuri kura 80 category zote 4....

But kura inahesabika as long as wamekujibu ""thank you for your vote"" me naendelea napiga kotekote
 
Back
Top Bottom